Ha ha ha aaah!! Ilitakiwa iende hadi wapi??nadhani ni pale kimara bucha..
mtachokana kwanza nyie..
kiwatengu wanaume wa kulea vichanga hawakosekani ili mradi tu uwe na wowowo nitaanza kumfikiria Mavotah Bishanga kashanivuruga akili Erickb52 na Lady doctor verified couple
Baada ya kuchambua rasimu ya katiba napita huku kusafisha kope zangu maana ni jukwaa la burudani..Kaka Bishanga na Wakili Ruta salaaaam
Kwa hiyo ya kwenu haiitwi couple?
pou Ana uwezo wa kuyarudi?
...nilikupenda kimapenzi soremba eee ila dharau uli.....
si Mamndenyi anasumbua kwa kuni dipu dipu?
haya sumbuaneni..... Ngoja nimtafute Arushaone kokote alipo nimsumbue
wewe ruka ruka tu, siku ukichoka utarudi mwenyewe siku hiyo utakuta safina imejaa nawe utaita kwa uchungu slaaave ! Slaaave! Nifungulie ninaangamia nami nitasema sikufunga mimi kafunga Evelyn Salt na Mamndenyi
we ndio unayenifanya nirukeruke nilisha kukataza tabia ya kuoaoa lakini hukusikia ndio kwanza unamuita Mamndenyi bila aibu, mimi sitoweza kuvumilia ndoa ya namna hiyo bora nitafute wangu peke yangu