Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
mie nilichanjiwa mmoja hanitoshi angalau wawili, chagua mnyonge wako kati ya hao wawili mmoja nitupe kapuni,
hata mimi nilichanjiwa kuwa peke yangu tu kwenye ndoa kama vipi hao waweke pending then tuwowane
nitakuwa sishibi naogopa kulala na njaa hizo sarakasi zangu sidhani kama utamudu ukiwa peke yako.
kumbe!! Kama hivyo sawa tulia basi na mimi nikutafutie mume mwenza ili na mimi nishibe kama wewe
sawa mpenz?
wewe ruka ruka tu, siku ukichoka utarudi mwenyewe siku hiyo utakuta safina imejaa nawe utaita kwa uchungu slaaave ! Slaaave! Nifungulie ninaangamia nami nitasema sikufunga mimi kafunga Evelyn Salt na Mamndenyi
kwa sasa sina ndoa
nahitaji muda wa kupumzika zaidi.
umeonaa nilisubiria mpambano huu nione utakapoishia
hata mimi nilichanjiwa kuwa peke yangu tu kwenye ndoa kama vipi hao waweke pending then tuwowane
Uwe nae peke yake kwani ni sumu huyo? Uke wenza na ume wenza unadumisha ndoa shosti hehehe. Ngoja nitoke nisije kutwa mie lol
mi mwenyewe nilikua naangalia tu, kwel hakuna marefu yasiyo....
halafu wee ndio umeniponza nilikuambia unipe kidumu chako kimoja ukakataa ona sasa ninavyo haha!!!
halafu wee ndio umeniponza nilikuambia unipe kidumu chako kimoja ukakataa ona sasa ninavyo haha!!!