Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulisha wahi kutembelea meno Mamndenyi!? Sasa kaa tayari kwa hiyo surprise!
nyumba yangu haina nafasi ya mawifi ni mi na mume wangu vyumba vimejaa,wakileta mguu tu nawaozesha wakatulie makwao
doktaaaa.....
hakuna cha radhi wala nini
na hivi tuko kwenye mikakati ya kuwa wake wenza
huyu shansarie ni mkwe wangu
hivyo halijaharibika neno.
mwambie mama yako asinitafute.., asubiri kwanza nimteme slave rasmi ndiyo ajipeleke
usinifanye nikalia, ngoja nimuite Evelyn salt anisaidie
mi najua wote mpo idara ya afya....
na Vin Diesel au Arushaone je
ha ha ha
dah
kazi ya hiyo kitu unaijua lakini?
itabidi niombe ruhusa.....hapa kijiweni ili nikafanye maandalizi
kweli kiwatengu unampenda mkeo, hadi unataka apate hiyo kitu, Arushaone unaona?
ha ha haaaa
nakutania khaaa
simtaki mumeo
nitakutafsiria usijali, halafu wanakutetaje!?
ooooopss hapa nimepumua sasa maana mawazo yangu yoote yalikuwa kwa wale ng'ombe 50 na magunia 70 ya nafaka pamoja na yale magari mawili aliyo ninunulia nilijua akikupata atanipokonya vyote maaana aliviwekeza kwangu kama mahari na bado hatujafunga ndoa