Veronica France Amuomba Msamaha Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA, Naye Akubali Msamaha Wake

Nipo nyuma Sana ya matukio.
Hao watu huko Dar es salam ni kina nani?
Huyo "Veronica France" ni kama alivyokua "kigogo2014" sema huyu ni mkosoaji wa Samia akiamini JPM aliuwawa kwa njama kati ya Msoga Gang na Wapinzani.

Hana facts Wala Nini ila jinsi nchi yetu inapenda umbea basi alipata followers wengi Mitandaoni kwa kusema wanachotaka kusikia.

Sasa amekua akiwashambulia sana sio tu kina January, Nape ila pia kina Mbowe, Lissu, Na Askofu Mwamakula ambaye ni sympathizer wa CHADEMA.
 
Huyu ni Musiba katika pen name ya Veronica, kwa maoni yangu "kazi ya kusamehe ni kazi ya MUNGU", angekuwa jiwe Leo hai angeomba msamaha huu? Akipatikana mtu Kama jiwe hatorudia tena upuuzi ule?
 
Askofu amesamehe,

Veronika aendelee na TOBA Hadi apate AMANI, ahakikishe Mungu naye amerudisha upanga alani.
 
Kuna wakati wengine tuliamini huyo anayejiita Veronica France ni ama ni Musiba au anashirikiana naye sababu maudhui yao yalikuwa sawia
 
Kumbe ni Elvis Musiba...
 
Mi binasfi sina time na kiongozi wa dini yeyote ile anayetafuta attention na publicity kwa watu. Wengi.wa viongozi hawa wa dini wanakuwa na ajenda za ubinafsi tu -- kupiga hela, hela, hela. Na mwamakula amedhihirisha hilo, kumbe nyuma ya drama zake zote kuna "partners" wake wa nje waliokuwa wakisupport "huduma" yake.

Nikimtafiti Yesu alivyokuwa akifanya huduma yake kwa unyenyekevu wote, kwa privacy yote, na hawa viongozi wetu ambao kila social media opportunity inayopatikana wanaitumia kisawasawa kujitangaza na kujipamba....you got to feel jinsi ambavyo kuna kazi kubwa ya kufanya ili kumtangaza Kristo katika uhalisia wake.
 
Huyo Veronika ndio nani huko Daslam?
Huenda mimi huku Sweken nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,


binti kiziwi nisaidie au kwa yeyote anayemjua.
Bwana ujue kule Daslam kuna mambo mengi sana ya hovyo. 😅

Huyo Veronica France ni account iliibuka baada ya msiba wa uncle Magu kama sikosei, ikidai yeye ni mtoto wa Uncle Magu na anaujua ukweli kuhusu kifo chake blah blah blah.

Usikute huyo Vero ni kati ya hao wanaotukanana humu deile, na mimi wanisamehe ndugu zangu kwa kuwasingizia wao ni Veronica France 🤣

Kwa ujumla tu huyo ni mtu wa hovyo kama alivyo kigogo. Karibu Daslam 😂
 
Ukielewa jinsi upana wa vita yangu ilivyokuwa, huwezi kusononeka, bali utamtukuza Mungu pamoja nami kwa kunipigania. Hakuna vita isiyokuwa na majeruhi au hata vifo. Katika vita yangu[emoji419][emoji375]
Hapa leo nimeamini Baba Askofu sio wa mchezomchezo. Kumbe yupo deep sana. Nitaendelea kumheshimu sana na kufuatilia maharishi yake kuliko awali.

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…