Veronica France Amuomba Msamaha Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA, Naye Akubali Msamaha Wake

Veronica France Amuomba Msamaha Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA, Naye Akubali Msamaha Wake

Hio Nchi bhna, Mtu asiyejulikana anaomba Msamaha na Askofu anasemehe. Kule anajiita Veronica na humu anajiita Suzy, halafu ni Mwanaume na familia kabisa.

Ila ndivyo ilivyo
Una uhakika ni mwanaume?
 
Shetani anakutumia vibaya. Kosa la Mwamakula ni lipi kwenye harakati zake? Alishaua mtu? Alishaiba mali za umma? Alishafunga Mtu Jela kwa kubambikia kesi?
Wewe huna kibri zaidi ya Sabaya na Makonda.

Mungu atakulipa jeuri yako
Aachane na siasa amtumikie Mungu. Kama yupo kwenye siasa basi akubali yote!
 
Wewe hukuelewa upana wa vita hii dhidi yangu na laiti ungelielewa, basi leo ungekuwa katika kustaajabia ukuu wa Mungu kwetu. Katika vita yote hiyo Askofu aliendelea kuishi na Kanisa bado lipo ingawa nguvu kubwa ilitumika kupitia kwa baadhi ya watu waliokuwa katika nafasi za mamlaka ambao walikuwa wanatumiwa kutaka
Aah
 
Back
Top Bottom