Veronica France Amuomba Msamaha Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA, Naye Akubali Msamaha Wake

Asante sana kwa maelezo yaliyonyooka,usisite siku nyingine kunifahamisha yanayo endelea huko Daslam,huku Itigi ni full vumbi muda huu.
 
Hii nchi bado watu hawapo busy? Kuna watu kweli kabisa timamu hufatilia hivyo vitu?
 
Hii nchi bado watu hawapo busy? Kuna watu kweli kabisa timamu hufatilia hivyo vitu?
Wengi mnoo Kuna Uzi inaitwa 17/03/2021 una accumulated viewers zaidi ya million 2. Ukiufungua humo ndio utaelewa kwanini hao kina Veronica France, Kigogo, Mange n.k Wana followers kibao.

waTanzania wanapenda umbea na speculations sio vitu serious.
 
Mimi sidhani kama tumewahi kukwaruzana kwa lolote, lakini neno la Mungu lipo wazi, "kwake aombaye msamaha na kuweka kusudio la kutukurudia kosa, astahili msamaha".

Nakupongeza kwa kujaliwa neema ya kuona haja ya kuomba msamaha maana wengi wetu hatuoni sababu hiyo.

Kwa kuwa wengi tumepungukiwa hekima, tukajawa na kiburi, na kuona tunajua kila kitu, na wale walio kinyume chetu si chochote si lolote mbele yetu, naomba JF itangaze mwezi wa 5 wiki ya mwisho, kila mwaka kuwa wiki ya msamaha kwa waliokwazwa na yeyote LAKINI hilo wala lisipunguze uhuru wetu wa kutofautiana fikra, kuonyana, kufundishana au kukosoana BALI liongeze weledi, liondoe kiburi, na lijenge moyo wa kukiri pale usipojua au ulipokosea.
 
Jambo zuri sana kuomba msamaha, but hujaweka picha ya bro Vero mbona?
 
Huyu veronica france watu walisema sana kwamba ni musiba vp kuna ka ukweli hapo
 
Wengi mnoo Kuna Uzi inaitwa 17/03/2021 una accumulated viewers zaidi ya million 2. Ukiufungua humo ndio utaelewa kwanini hao kina Veronica France, Kigogo, Mange n.k Wana followers kibao.

waTanzania wanapenda umbea na speculations sio vitu serious.
Watanzania wanapenda story za Usalama wa Taifa,Freemasons,miujiza ya mwamposa na vitu vya kufikirika.
Ndo maana watu uliowataja wanapata unaarufu!!
 
Naomba radhi Sana unisamehe kama mdogo wako au vyovyote vile

Hapa bado kamkosea askofu au vyovyote vile ,maana yake Nini? Anaweza kuwa sio mdogowake ila hawala wake

Arudie kuomba Tena Msamaha
kosa wakati wa kuomba msamaha .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee ,nimependa mondo za Askofu Mwamakula,abarikiwe sana🤔🤔
 
Kaona yaliyomtokea Membe kwa kiburi chake,hawa viongozi si wa kuchezea wakikueleza jambo tekeleza,hata hivyo kajiongeza bila shuruti
 
A very stupid bishop is asked for forgiveness! Ahahahahaha!!!
 
Nilijua tu hawa wahuni watafika Mwisho.

Huwezi kupamba na watumishi kama Askofu Mwamakula Danieli wa zama hizi ukafika popote.

Kuna mtu alisema " yule anayejiita askofu" alipotea hadi leo hasikiki.

Mwingine alitaka kumuua Askofu Mwamakula kwa kuwa eti anahubiri Haki na Katiba Mpya askofu akamjibu sawa Kama nina fanya kosa mwambieni aje anipige risasi.

Mwamakula hata kama mnadharau angalieni mnapambana na Nguvu za Mungu bila kujua.
 
A very stupid bishop is asked for forgiveness! Ahahahahaha!!!
Shetani anakutumia vibaya. Kosa la Mwamakula ni lipi kwenye harakati zake? Alishaua mtu? Alishaiba mali za umma? Alishafunga Mtu Jela kwa kubambikia kesi?
Wewe huna kibri zaidi ya Sabaya na Makonda.

Mungu atakulipa jeuri yako
 
Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…