Veronica France Amuomba Msamaha Baba Askofu Mwamakula na Viongozi wa CHADEMA, Naye Akubali Msamaha Wake

Hio Nchi bhna, Mtu asiyejulikana anaomba Msamaha na Askofu anasemehe. Kule anajiita Veronica na humu anajiita Suzy, halafu ni Mwanaume na familia kabisa.

Ila ndivyo ilivyo
Una uhakika ni mwanaume?
 
Shetani anakutumia vibaya. Kosa la Mwamakula ni lipi kwenye harakati zake? Alishaua mtu? Alishaiba mali za umma? Alishafunga Mtu Jela kwa kubambikia kesi?
Wewe huna kibri zaidi ya Sabaya na Makonda.

Mungu atakulipa jeuri yako
Aachane na siasa amtumikie Mungu. Kama yupo kwenye siasa basi akubali yote!
 
Kwenye mazingira kama haya kuna mengi
1. Mhusika kagundua alikuwa anatumika na sasa ametelekezwa
2. Ufunuo wa nguvu ya maombi umefanya kazi
3. Anakaribia kufa
Ongezea nyama kidogo mshana juu ya hili
 
Aah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…