Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Nakazia 😁Huna ajira na vikao vya wanaume huhudhurii? Unakuwaga wapi ? Vikao vyote toka miaka 20 nyuma vinasisitiza kukaa mbali sana na single mothers, ila wewe unajipeleka kichwa kichwa 😂😂 tena mwenye watoto wawili 😂😂😂😂
Kwa niaba ya wanaume wote, tunasema unastahili maumivu, ni uzembe winako wa kutoshiriki vikao vya mwaka na nusu mwaka