Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Veronika wakunifanyia haya Mimi?

Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Unaamka au unarara!

Sio rahisi kabisa sisi kuelewa unacgopitia ila tu usiue
 
Bado sijaona kosa la vero,mwenye kosa ni wewe ambaye unahudhuria vikao vya wanaume na kuanza kusinzia.Bado hujasema vero ongeza tukio lingine mpaka aseme
 
Mkuu nimejiajili kwenye kilimo Cha mpunga kwahiyo Hela ya kuendeshea maisha hainipigi chenga. Kwahiyo Kama unahisi chai njoo dm nikupe namba ya mwanamke mwenzio umuulize alichokifanya.
Hivi kumbe uko serious 😀 Mi najuaga mikasa ya JF ni chai.

Pole senior jobless, sasa ufocus kwenye kilimo vizuri.
 
Katafute jukwaa la wehu wenzio, amekaa miezi 3 amepatia mimba huko amrudi kujifungua, mimba miezi 3? Huyo ni binadamu?
Kama hujaelewa uliza, alikaa miezi mitatu yaani toka may mpaka agost mwaka Jana, amejifungua mwezi wa tatu mwaka huu. Kumanisha miezi tisa ya ujauzito imetimia mwezi wa tatu
 
Kwenye kikao cha wanaume tulishakubaliana kuwa single mother anayestahili kupewa hifadhi ni yule Mjane (aliyefiwa na mumewe) na hadi ujiridhishe kwa uhalisia uone ndugu zake wa huyo marehemu na kaburi ndyo uanze mahusiano naye.
Je ulikuwepo au ulikwenda kuchimba dawa?
Nisamehewe tu kwasasa maisha yamenifunza jambo kubwa Sana.
 
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Umeyataka mwenyewe, kila siku tunaimba humu habari za Singo mamazi wewe unaenda kujiingiza kwa mwenye watoto wawili kabisa??
 
Huu Uzi ni kama hadithi haujabeba uhalisia mtoa mada huna ushirikiano na reply zako
Ahsante kwa kushiriki. 👐
Hili suala ni serious na limeniathili Sana. Kwasasa Binti ana mtoto ambae ana wiki mbili.
 
😂😂😂yaan namba D zipo kibao huku kitaa unaenda kuangaika na demu ashazaa watoto wawili wewe unafikiri angekupenda kweli...

hapo kaenda kwa jamaa yake katiwa mimba nyingine anakuletea wewe baba huruma ulee.....😂😂hii dunia usipokuwa katili hufanikiwi..ww jitie una huruma utalee watoto wa mwanaume mwenzio tu.
Kwasasa nimejifunza Bora nitafute wasio na wato hata Kama ni wasumbufu nitavumilia.
 
Umeyataka mwenyewe, kila siku tunaimba humu habari za Singo mamazi wewe unaenda kujiingiza kwa mwenye watoto wawili kabisa??
Mapenzi upofu. Lakini kwasasa nitakua mwalimu mzuri
 
Huyu ni Binti wa 2001 tu hapo. Aliolewa aktelekezwa na jamaa akiwa bado mdogo na watoto wawili. Mimi nikajitosa kuwa nae kimahusiano. Nilijinyima nikahakikisha watoto nalea kama wakwangu wakati huo yulewa pili alikua na mwaka mmoja tu. Nimehenya kupambania familia isiteteleke. Nimejibana Kwa kipindi chote cha miaka mitatu.

Kwa muda wote huo nilimpangia nyumba, mavazi yeye na watoto ,nililipa bili za umeme, michezo ya vikoba, chakula na Hela za matumizi. Mwaka jana mwezi wa tano alisema dada yake amejifungua Kwa operation anaenda kumuuguza.
Alikaa huko miezi mitatu aliporudi alirudi mwezi august na mwezi huu kajifungua mtoto wa kike kumanisha mimba alipatia Kwa dada yake huko.

Maumivu ninayopitia ndugu zanguni ni zaidi ya Yale ya kukosa ajira.
Uliwezaje kumtimizia mahitaji yote hayo ya kiuchumi na ww ni senior jobless au mwizi?
 
Maybe alikuwa mjamzito
Huyo jamaa hakuelewa. Miezi mitatu aliyokaa ni Ile ambayo alipata ujauzito na amejifungua mwezi uliopita baada ya miezi tisa. Ina maana ujauzito alipata mwezi June wakati Mimi nimelala nae April na august. Kwahiyo kama mtoto ni wangu alitakiwa ajifungue January au may
 
Uliwezaje kumtimizia mahitaji yote hayo ya kiuchumi na ww ni senior jobless au mwizi?
Mkuu usiwe serious sana na hizi ID kwasasa ni miaka mitano Sasa nimejikita kwenye kilimo na kinalipa kwakweli
 
wewe kweli ni msamalia mwema, big up sana.
 
Back
Top Bottom