Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Nakazia πHuna ajira na vikao vya wanaume huhudhurii? Unakuwaga wapi ? Vikao vyote toka miaka 20 nyuma vinasisitiza kukaa mbali sana na single mothers, ila wewe unajipeleka kichwa kichwa ππ tena mwenye watoto wawili ππππ
Kwa niaba ya wanaume wote, tunasema unastahili maumivu, ni uzembe winako wa kutoshiriki vikao vya mwaka na nusu mwaka
Hivi Veronika ni singlemother kumbe?Na mi nimeona chai hii, anataka pa kupatia kuponda single maza π€£π€£π€£π€£
Ila single maza wanapitia magumu mtu akila akivimbiwa anakuja na chai yake ili kuwapondaβ¦!!! Na huyo anayeponda hata sura ya baba ake halisi haijui!!!
Did you talk to her?Kwa hesabu nilijua mimba ni yangu nimelea na mimba lakini kujifungua mwezi huu hesabu zinagoma kuwa ni wangu.
Ko unadhani wenzio kwenye vikao huwa wanaongopa siyo?Nilijua kwakua kupitia changamoto atatulia
hii ndo muhimu yaani....mwanamke akishazaa na mtu tayari kuna connection ya milele...hata kama walizinguana vipi ipo siku watapatana tu watapasha viporo.Kwasasa nimejifunza Bora nitafute wasio na wato hata Kama ni wasumbufu nitavumilia.
Na mi nashangaa sis π€£π€£π€£Hivi Veronika ni singlemother kumbe?
Veronika ametenda kilicho stahili.... apokee maua yake kabisa!!Huna ajira na vikao vya wanaume huhudhurii? Unakuwaga wapi ? Vikao vyote toka miaka 20 nyuma vinasisitiza kukaa mbali sana na single mothers, ila wewe unajipeleka kichwa kichwa ππ tena mwenye watoto wawili ππππ
Kwa niaba ya wanaume wote, tunasema unastahili maumivu, ni uzembe wako wa kutoshiriki vikao vya mwaka na nusu mwaka
Nimekua barozi mzuri kwasasaHii
hii ndo muhimu yaani....mwanamke akishazaa na mtu tayari kuna connection ya milele...hata kama walizinguana vipi ipo siku watapatana tu watapasha viporo.
It's about a 2 weeks now, there's no any communications between me and the Lucifer's sister.Did you talk to her?
Na atakuua kweli π
Una undugu na rais wa majobless, jobless pro max ? Poor Brain future bilionea kachange
Sijui nisemeje, lakini hii sio chai ni uhalisia na Sasa nipo sehem navuta pumzi na kutuliza fuvuNa mi nimeona chai hii, anataka pa kupatia kuponda single maza π€£π€£π€£π€£
Ila single maza wanapitia magumu mtu akila akivimbiwa anakuja na chai yake ili kuwapondaβ¦!!! Na huyo anayeponda hata sura ya baba ake halisi haijui!!!
PoleIt's about a 2 weeks now, there's no any communications between me and the Lucifer's sister.
Ndio maana simuoni, watakuja kumuua kijana wa watu stress za ujobless wameona wamuongezee na za ban.Hapana kala BAN juzi kati hapo .
Sijui ilikuaje aiseeee
Swax oye posutaaaaaSumbawanga?kwani nilikwamwambia Niko Swax[emoji134]?
We jamaa njoo nikupe ukae nae Mimi nimechemkaUngekuwa mpole MKUU kama unanwanao Nje unaongesea anakutunzia...simple.....hapo ulikuwa una uhakika WA kupokea misosi kwa wanaumee WAWILI tofauti nn kingine ilitaka
Sasa Ili yasinikute hayo nimesalim amriSikia kwa mwenzio...KUNA jamaa tegeta kahama kwake kaitekeleza kahamia kwa demu...ana mapacha WA mtu jamaa anatuma misosi KILA kitu....
sikuakimhitaji anamwaga mzee naenda kuchukua misosi ya wanao ananyanduliwa akirudi hoi
akaanza kuhoji ukienda KWENYE chakula unankatili penzi weee
jamaa amefukuxwa MAJUZI na demu
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mshua wangu alinambia kuishi na mwanamke mwenye mtoto ni sawa na kukaa na mke wa mtu[emoji23][emoji23]