Very soon tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya

 
ila sijui kwa nini magufuli alifanikiwa kuwahadaa wadanganyika kuwa tulikuwa kwenye right track
Ubabe ndio uliomsaidia,watanzania wengi uwezo kutafakari mambo ni Mdogo hivyo ukiwaachia Uhuru wakutafakari wao wenyewe wanatapatapa.
So cha kufanya ukiwasaidia ww ukiwa kiongozi na ubabe kidogo umeshamaliza mchezo unakuwa unawaswaga tu kama kondoo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…