Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Alifanikiwa sababu upumbavu haukuwepoila sijui kwa nini magufuli alifanikiwa kuwahadaa wadanganyika kuwa tulikuwa kwenye right track
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanikiwa sababu upumbavu haukuwepoila sijui kwa nini magufuli alifanikiwa kuwahadaa wadanganyika kuwa tulikuwa kwenye right track
Mbona majina yako lwa msajili tayariKwa speed hii wanayokwenda nayo, nashawishika kuamini kuwa Bado siku chache sana tutajua nani Yuko nyuma ya kile chama kipya.....
Wenye chama Chao watajitokeza mapema tu, hakika vita vya panzi furaha kwa kunguru. Wacha wararuane....
CCK ya NapeHawata pewa usajili wa kudumu kama ilivyo fanyiwa CCK
Sawa
KondooUbabe ndio uliomsaidia,watanzania wengi uwezo kutafakari mambo ni Mdogo hivyo ukiwaachia Uhuru wakutafakari wao wenyewe wanatapatapa.
So cha kufanya ukiwasaidia ww ukiwa kiongozi na ubabe kidogo umeshamaliza mchezo unakuwa unawaswaga tu kama kondoo..
Kondoo jike au dume??Kondoo