we inawezekana umeelewa zaidi.Kwanini ulifanya hivyo maana ninashangaa na naikosa sababu ya wewe kumdanganya hivyo,unajua uongo katika mapenz huwa unauma sanasana ingawa imekuwa muda mrefu mm kama mwanamke nimesikitishwa sana na tabia yako hiyo
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Abeee mkuuwe bibie
umepoteaa.Abeee mkuu
Yap kasema walikuwa wapenz na walikuwa wanatumia muda mwingi sana kuongea nimewaza kwa sauti nikahis kuwa labda jamaa alipomuona hakuvutiwa nae kwa kila kitu,sababu huwez kumpoint mtu mwingine ilihali wewe mhusika upo,kiufupi huyu jamaa alikosea sana.we inawezekana umeelewa zaidi.
kuna sehemu jamaa kasema walikuwa wapenzi??
ah! sawaYap kasema walikuwa wapenz na walikuwa wanatumia muda mwingi sana kuongea nimewaza kwa sauti nikahis kuwa labda jamaa alipomuona hakuvutiwa nae kwa kila kitu,sababu huwez kumpoint mtu mwingine ilihali wewe mhusika upo,kiufupi huyu jamaa alikosea sana.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Duh Mleta uzi, mwenzetu namba umeaza kuzisoma siku nyingi sana! Haya karibu tena kwenye show za Juma Pombe Maharage
Ila tamuNdefuuuuuuuuuu