Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.
Hii yaweza kuwa kweli ngoja na mie nikifikisha tu bilioni kadhaa nihame huku Arachuga hapako salama kwa Madon