Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

El-Toro, Albert n Lemmy poleni sana. Hapo awali nisema humu ndani na yote yaliyosemwa juu ya Nyaga mabaya husuni kifo chake. Wallah Mwenyezi Mungu ndiyo anaye jua lakini kama kuna mkono wa mtu katika hili kisa tu ni mafanikio yake, damu ya mtu italia juu yake hata kuwa na amani hata kidogo. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu najua ni ngumu sana kukubsli lakini Yesu ndiye mfariji pekee katika kipindi hiki.
 
. He never asked for my CV or results!! He has never seen my University Certificate.

Oooh that's obvious to lawyers. Lawyers are not asked for their credentials as long as they know how to stand in the court. That's why the 'fake lawyer' who represented Sadam and milosevic at Iraq and the hague respectively managed to do so unnoticed. Until recently when he offered to represent someone clever, his trail was uncovered.
 
Sio mchezo, albert lazima ikuumize, yaani we unahitaji kupewa pole zaidi kuliko hata baadhi ya ndugu
 
News .... Nyaga will be laid to rest in Lang'ata cemetry in Nairobi on wednesday
 
pole sana kaka.. ni ngumu sana kufiwa na mtu wa karibu

sijui kwa nini imekuwa hivo?
 
Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.
 
Alberto, pole sana ndugu yangu. Hii story yako imenifundisha mengi kuhusu kushikamana katika dunia ya sasa ya chuki tele. You are a true friend.

Alipoishia Nyaga, anzia hapo na kuendelea kumuenzi.

RIP Nyaga.
 
Napenda kuwafahamisha kwamba mazishi ya Mpendwa Wetu Nyaga Paul Mawalla yatafanyika Jumatano, tarehe 3/4/2013 jijini Nairobi, Kenya kwenye makaburi ya Lang'ata. Nafahamu kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na mazishi lakini Wosia wa marehemu ndio umefuatwa. Naomba tushirikiane na familia katika safari ya kumpumzisha Ndugu yetu Nyaga. Daima tutamkumbuka na kumuenzi kwa mema yote aliyoyafanya.

Am happy kusikia kwamba WOSIA umefuatwa. I was very disappointed when I started hearing that his daddy was not "ready" to accept that WILL as to where his son will be buried.

May God help you guys who will travel to Nairobi.
 
The only way to remember your true friend is to implement what he used to believe. RIP broda
 
Mi nilikuwa simfahamu huyu Advocate kabla, lakini hii obituary imenitoa machozi. Pole sana Albert. Najua umeumia sana. Mungu akutie faraja. Tunamwomba Mungu amsamehe Nyaga dhambi zake na kumpa pumziko la amani milele. Amina.
 
Pole sana albert MUngu akutie nguvu ingawa nimekuwa na maswali mengi sanna kuhusu msiba wa kaka nyagawa
 
Tukisoma history na kufikia wosia kabla ya msiba nawiwa uuliza albert kaka yetu inaonekana alikuwa amekata tamaa na maisha;je akuna ama akukuwa na mkristo wa kuweza kumtia moyo kwamba mungu yupo aijalishi aanaumwa ugonjwa gan ;sidhan kama ni kuteseka wale watu wa ocean road hosp kikwete angekuwa anasikia msiba kila siku maana yuko jiran lakini kuna kitengo cha kutiana moyo cha wakristo na ukifika wanavyouma uwezi amini akikwambia anaamini kesho anatoka;;sipendi kusema mengi mungu mpe pumziko la amanoi lakini naamini ndugu na marafiki wa karibu wamechangia mauti yake ikiwemo kushindwa kumtia moyo kakaetu;bado tulio hai tukiona mwenezetu ana mawazo tafuta watu wa mungu kumsaidia;;mungu wa mbingun akawatie nguvu safari yenu to nairobi na kuwarudosha salama;jambo moja naamini hata angezikwa usa ;uk;hongkong kama narudia kama wazazi wake wako hai na awajaridhika na utaratibu wa mazishi basi dhambi ile ama laana ile aitawaacha wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine tofauti na uamuzi wa wazazi na kama amuamini hili somen amri ya mungu ya 4 silaan ila naonya kwakuwa bado kuna nafasi ya msamaha
 
Pole sana mdogo wangu Albert, natambua huzuni na majonzi uliyonayo kwa kuondokewa na kaka ,rafiki na boss wako Nyaga. Mungu Alamlaze Mahali pema. Amina.
 
Dah! Nimeumia sana japo nilikuwa simfahamu Nyaga..! Poleni kwa msiba..! R.I.P Nyaga..!
 
Hii yaweza kuwa kweli ngoja na mie nikifikisha tu bilioni kadhaa nihame huku Arachuga hapako salama kwa Madon

Kwa vijana wenye akili kifo cha huyu mwenzenu kitakuwa fundisho ya jinsi ya kuishi siku za maisha yenu zilizobaki hapa duniani!!Hasa wewe El Toro kwani inaelekea huna subira na una tamaa; vitu viwili vibaya katika maisha ya ujana.
 
Back
Top Bottom