El-Toro, Albert n Lemmy poleni sana. Hapo awali nisema humu ndani na yote yaliyosemwa juu ya Nyaga mabaya husuni kifo chake. Wallah Mwenyezi Mungu ndiyo anaye jua lakini kama kuna mkono wa mtu katika hili kisa tu ni mafanikio yake, damu ya mtu italia juu yake hata kuwa na amani hata kidogo. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu najua ni ngumu sana kukubsli lakini Yesu ndiye mfariji pekee katika kipindi hiki.