Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Hivi kwa nini kazikwa Kenya?
kijana,jenga utamaduni wa kupitia thread na posts zake kabla hujasema au kuuliza chochote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwa nini kazikwa Kenya?
Kulikuwa na sababu zipi za msingi kumzika Kenya?
Pole sana Msando,Nyaga kaondoka,tungependa kukuona ukiendeleza yote mema uliojifunza kwake,
He was 39 kaka
Mpendwa wetu katika safari yake ya mwishoattachment.php?attachmentid=88986&d=1364975886[/IMG]
Miaka 3 tu hawawote waloenda kumzika hawatakumbuka kaburi lake, ni bora angekubali kuzikwa kwao.
somehow uko right,lakini kwa taarifa yako tu kwa mikoa ya kaskazini hasa moshi na arusha hicho ni kitu cha kawaida,ila,kama unaishi na watu vizuri,unaweza kupunguza kidogo hiyo chuki......NILIKUWA SIMJUI NYAGA, ILA NIMEFUATILIA HABARI ZAKE BAADA YA KIFO CHAKE. NATAMATISHA KWA KUSEMA KUWA
"Nyaga is a victim of his success", chuki nyingi imejengwa na watu shauri ya mafanikio yake. Na weza kusema kuwa kwa ujumla watanzania hatupendani, hasa inapoonekana mtu anamafanikio, tunatamani wote tuwe maskini hohehae.
Kibaya zaidi ni kuwa ndugu nao huwa wanajipa mamlaka ya kupitiliza, as if ukishakuwa ndugu basi you owe them everything.
UMASKINI WA MALI NA MAWAZO NDIO KIKWAZO KIKUBWA SANA KWA WATANZANIA.
Rest in Peace Nyaga
hapa nitabisha hadi kufa,mji gani mnajuana wote? mji gani mnachukiana kikabila? wameru,wachaga wamasai na wengineo?False Information..Arusha is like any other place in Tanzania.
Rest in Peace Mawalla..
Miaka 3 tu hawawote waloenda kumzika hawatakumbuka kaburi lake, ni bora angekubali kuzikwa kwao.
eyo wosia ndio unawanyima nafasi baba na mama yake kumzika mtoto wao
...bora hata watoza ushuru walisamehewa kupitia Lazaro...
hapa nitabisha hadi kufa,mji gani mnajuana wote? mji gani mnachukiana kikabila? wameru,wachaga wamasai na wengineo?
mji gani mna atitude za violence kwa kila kitu,yaani kwenu mazungumzo big no! mwisho nakuuliza maswali na nataka unijibu,
je unafahamu kilichomuua nyaga? na unafahamu kwann Mwale yuko ndani? hv unajua kilichomuua tajiri wa Bulk? na yaliyompata benson miaka ya kina phares? nijibu hata mawili tu unidhibitishie uwongo wangu! hapo sijaonglea moshi
wenyewe wanaojiita wansheria wameupeleka na kuwanyima haki wazazi wake haki ya kumzika, inauma sanaTutaamini vp ni wosia wa marehemu?