Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

Pole sana Msando,Nyaga kaondoka,tungependa kukuona ukiendeleza yote mema uliojifunza kwake,

Duh, pole anapewa Msando........!!!!

Jamari tujifunze kuweka ushkaji pembeni kwenye mambo ya kifamilia.

Kwenye hili la Nyaga washkaji zake walijisahau, au walisahaulishwa kuwa Nyaga alizaliwa na mwanamke.

Pole sana mama Magret Mawalla kwa kutozika uzao wa tumbo lako. Pole sana mama.
 
He was 39 kaka

Daaaa i am speechless, gone so soooon. Poleni sana jamani kwa umri huo kweli alikuwa bado mdogo sana na hakika angefanya mengi sana. Anyway hiyo ndo hali halisi, cha muhimu ni kuendeleza vision yake
 
Miaka 3 tu hawawote waloenda kumzika hawatakumbuka kaburi lake, ni bora angekubali kuzikwa kwao.

Wanasheria hamna mahali Yesu aliwanenea jema zaidi ya kuwalaani bora hata watoza ushuru walisamehewa kupitia Lazaro. Yaani hawa na Kitimoto hawatofautiani kabisa
 
NILIKUWA SIMJUI NYAGA, ILA NIMEFUATILIA HABARI ZAKE BAADA YA KIFO CHAKE. NATAMATISHA KWA KUSEMA KUWA
"Nyaga is a victim of his success", chuki nyingi imejengwa na watu shauri ya mafanikio yake. Na weza kusema kuwa kwa ujumla watanzania hatupendani, hasa inapoonekana mtu anamafanikio, tunatamani wote tuwe maskini hohehae.
Kibaya zaidi ni kuwa ndugu nao huwa wanajipa mamlaka ya kupitiliza, as if ukishakuwa ndugu basi you owe them everything.
UMASKINI WA MALI NA MAWAZO NDIO KIKWAZO KIKUBWA SANA KWA WATANZANIA.

Rest in Peace Nyaga
somehow uko right,lakini kwa taarifa yako tu kwa mikoa ya kaskazini hasa moshi na arusha hicho ni kitu cha kawaida,ila,kama unaishi na watu vizuri,unaweza kupunguza kidogo hiyo chuki......
 
False Information..Arusha is like any other place in Tanzania.
Rest in Peace Mawalla..
hapa nitabisha hadi kufa,mji gani mnajuana wote? mji gani mnachukiana kikabila? wameru,wachaga wamasai na wengineo?
mji gani mna atitude za violence kwa kila kitu,yaani kwenu mazungumzo big no! mwisho nakuuliza maswali na nataka unijibu,
je unafahamu kilichomuua nyaga? na unafahamu kwann Mwale yuko ndani? hv unajua kilichomuua tajiri wa Bulk? na yaliyompata benson miaka ya kina phares? nijibu hata mawili tu unidhibitishie uwongo wangu! hapo sijaonglea moshi
 
To be honest sina majibu ya maswali yako but the truth remains,Arusha ni mkoa kama mikoa mingine ya Tz,yanayotokea Arusha pia yanatokea sehemu nyingi za Tz,
Hope umenielewa mkuu
 
Back
Top Bottom