'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

uloandika huu uzi inaonekana ulienda shule kujazwa upumbavu
kwa kifupi ww ni kilaza wa karne
Aisee, sasa hapa wewe unatofauti gani na kenge?, maana hata kenge angeweeza kupost huu utumbo uliocomment bila hoja yoyote, jadili kwa hoja kama binadamu mwenye utashi
 
Uliposema tu et AKILI YANGU INA LIMITATIONS, SINA RUHUSA YA KUFIKIRIA KWA KIWANGO NINACHOTAKA..... hapo ndo umeharibu.

Mkuu Toka 2015 SIJAWAHI KUIWEKEA LIMITATIONS AKILI YANGU. YAANI NAWAZA CHOCHOTE, NAHOJI (kichwani mwangu) CHOCHOTE, NAKATAA CHOCHOTE NA NAKUBALI CHOCHOTE na NATUKANA NIWEZAVYO.


Yaani mkuu SINA HATA CHEMBE YA KUHOFIA KUKUFURU.

you KNOW WHAT??


Naamini katika KUWEPO KWA CHANZO CHA UHAI NA UWEPO (life & existence) LAKINI..

1 NAKATAA 100% KUWA MUNGU HAYUPO KAMA ANAVYOELEZWA KATIKA VITABU. kwangu dhana ya Mungu ingeeleweka Sana na kurahisisha jinsi ya kumu-imagine (GOD'S IMAGINATION) Kama ingetumika pronoun ya IT badala ya HE.

2 SIAMINI HATA CHEMBE KUWA YESU NI MUNGU WALA MWANA WA MUNGU Kwa sababu Mungu si KIUMBE HADI AWE NA MWANA.

3 SIAMINI KATIKA UWEPO WA SHETANI (Adui wa Mungu) wala SHAMBI KUTOKANA NA SHETANI.

4 Kuna CHANZO 1 TU CHA UHAI NA UWEPO, vingine vyote Ni viumbe (creatures..macro & micro, vissible and invisible) because creation takes different forms in different dimensions)


Hakuna sijui malaika wasaidizi wa Mungu, Mara mapepo wasaidizi wa Shetani..vyote Ni viumbe na sio wasaidizi wa Mungu au Shetani.

5 Hakuna dhambi wala kosa katika kutumia mitishamba na viumbe vingine kwa dawa, kosa Ni NIA YAKO. Kama Unatumia kwa Nia ya kujitibu au kujikinga Hakuna kosa. Kama Unatumia kwa Nia ya kudhuru Ni kosa.

Kwa UFUPI AKILI YANGU NITUMIA BILA MIPAKA WALA HOFU YA AINA YOYOTE YA KIDINI
 
Hivi, hadi kiungo kipotee mwilini mwa mnyama, inachukua muda gani? na je,kikipotea kwangu, inaweza athiri hadi kizazi changu au kinaambukiza hadi wengine? Je, binadamu wa kipindi hicho alikuwa mmoja au wengi? mikia yao ilipotea katika miili yao kwa wakati mmoja au ilitokea kwa mmoja tu?
 
ungenisoma tena ungenielewa na ungeepuka kuandika maneno mengi yanayojirudia rudia....unasema akili yako huwezi kuiwekea limitations kwani ni unaiwekea au ndo asili yake?!....unachotaka kukisema hapa ni mfano SMG ina uwezo wa kurusha risasi kwa range ya 800meters kisha wewe uniambie nimefanya makosa sana kuiwekea limitations juzi tu kuna mtu ameshoot kwa range ya 80km na risasi imefika..
utakuwa uko sawa kweli?!..
yet unasema huna wasiwasi kuwa umekufuru wakati huohuo unasema huamini kama kuna mungu kwani unadhani kukufuru maana yake ni nini?!....kukufuru sio jina la mizizi ya dawa fulani ya mitishamba maana yake ni kukanusha, kupinga na kukataa..

hebu nisome tena utaelewa mengine kama kufananisha habari za IT na viterminology vya biology na uumbaji nafikiri ni tatizo kubwa kuliko ninavyodhani..
 
Reactions: Cyb
Nitakufafanulia kwa kutumia mfano wa jinsi viungo vinavyopotea. Sasa hivi tembo wenye pembe fupi wameanza kuongezeka zaidi na wale wenye pembe kubwa wanazidi kupungua, hii ni kwa sababu ya majangili wanaowindankwa wingi tembo wenye ndovu/pembe kubwa ili wapate pesa nyingi zaidi na kuwaacha wale wenye vipembe vidogo; hivyo mwaka hadi mwaka wale wenye pembe ndogo wanapata nafasi kubwa zaidi ya kukua hadi umri wa kuzaa na kuzaliana zaidi huku wale wenye pembe kubwa wakizidi kuuwawa. Haya mazingira yakiendelea yatasababisha mwisho wa siku tembo wenye pembe kubwa wapotee na wale wenye pembe ndogo kuongezeka, miaka inavyozidickwenda jinsi pembe yako ilivyo ndogo zaidi ndivyo uwezekano wako wa kusurvive hadi kuwa mkubwa na kuzaa ndio unaongezeka, na kinyume chake ni kweli pia, mwisho wa siku wale wenye vishimo tu vya kushika pembe ndio watapona, wale wenye hata dalili ya pembe watuawa na majangili, mwishowe wanabaki tembo wasio na pembe. Na haya mabadiliko hutokea kwa genetic mutation by chance, ila ile chance mutation inapokuwa favourable basi huwa inaachwa na kuwa dorminant. Sasa itachukua muda gani hadi hicho kiungo kipotee itategemea na kasi ya majangili na uwezo wa mazingira kuruhusu kuzaliana. Tell me umenielewa, please!!
 
Kwahiyo wamaanisha pia miaka ijayo,tutakuja kuwa viumbe tofauti na tulivyo sasa?...
..Ndio maana yake Huyo. Kwamba baadaye akina mama watakuwa hawana Makalio makubwa maana hayana Umuhimu kiihiivyo, na
Ndio maana Wazungu na Wahindi yameanza kuwaondoka maana hawanayo no vimbau mbau lakini maisha yanasonga!![emoji16][emoji16]
 
Meenzio katoa hoja, wewe unatoa povu!!

Kwa ufupi wewe unaonekana hata evolution yko haijakamilika, bado upo kwenye usokwe sokwe!!

Kichwani umebeba kamasi. Cha ajabu utakuta Eti na wewe UNA DEMU!!!!!!!!!!!!!
dah hapo mwisho mzee[emoji3][emoji3][emoji119]
 
..Ndio maana yake Huyo. Kwamba baadaye akina mama watakuwa hawana Makalio makubwa maana hayana Umuhimu kiihiivyo, na
Ndio maana Wazungu na Wahindi yameanza kuwaondoka maana hawanayo no vimbau mbau lakini maisha yanasonga!![emoji16][emoji16]
Kwa mazingira ya culture ya kibantu ni dhahiri kwamba yatazidi kuwa makubwa, ni kwa sababu wanaume huoenda zaidi ngono na wenye makalio makubwa hivyo mbegu za wenye makalio makubwa zitazidi kuongezeka kwa wabantu siku hadi siku. Ila kwa culture ya wachina, wahindi na wazungu ambayo haifagilii makalio makubwa wanaweza kubaki kama walivyo, ama yakaongezeka kidogo kutoka na muingiliano na waAfrika wapenda mizigo.
 
Huu ni ukweli mambo ya kuumbwa kutoka kwenye udongo ni hekaya za kusimuliwa watoto usiku kabla ya kulala
 
Hawawezi kukuelewa
 
Kwa hiyo wanawake waliokuwa na dudu la kiume walipoona hawaoni wa kutomb wakatrim( kupunguza size kakabakia kadogoo.)
Kwa hasira wakajitoboa tundu.
Na wanaume walipoona hakuna wa watoto kuwanyonyesha(wapunguza vichuchu.
Kama "evolution kweli ni binadamu ndiyo wanaelekea kwenye unyani au ni nyani wanaelekea kuwa wana wa Adam?
Nilipo kuwa nasoma chuo kikuu cha manyani kule porini kuliko na somo la evolution.
Tulifundishwa profesa gorilla kuwa sisi manyani zamani tulikuwa bin Adam ila siku baada ya miaka bilioni kadhaa ndiyo tukabadilika kuwa nyani.tumeota manyoya.
Kwa hiyo na wana wa Adam kuna siku wataota manyoya kama sokwe.
 
Binadamu wa zamani bila shaka walikuwa na manyoya ya kuwapa joto, lakini baada ya kugundua moto na kuota moto, pamoja na kugundua nguo za kuvaa pamoja na nyumba zenye kutunza joto, manyoya yalipungua umuhimu wake, na hivyo yakapungua na leo tumebaki na vinyweleo. ‘If you don’t use it, loose it’, hiyo ni principle ya evolution.
 
Sasa kichwani nywele na mavuzi ya nini kuna baridi wapi?
Kichwani kwapani mapajani nywele za kazi gani?
 
Nadharia ya evolution bado changa na haijitoshelezi.
Kwa mfano tendo la kuzaa ni la uchungu sana, sasa evolution kwa nini usifanye kazi yake?
Pengine angalau tutage tuatamie kama kuku.
Toto la kilo sita la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…