KERO VETA DSM wanawachagulia vijana course wasizotaka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

fazam

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
1,855
Reaction score
1,283
Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme wa magari anajikuta amechaguliwa course ya plumbing na wakijaribu kuomba ufafanuzi wanajikuta wakifokewa na kuambiwa waombe tena mwakani.

Hii si sawa kumlazimisha kijana asomee kitu ambacho hakuchagua
 
Pole..haijaanza leo hiyo...mimi yalinikuta hayo mwaka 1997..niliomba Electricity nikatupwa Fitter and Turner hapo hapo Chang'ombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…