Veta itaondoa udalali wa bidhaa za China na Uturuki

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina.
yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
 
Ubunifu wa ujenzi eeeh!

Siyo rahisi kihivyo. Unayajua mazingira ya Tanzania sawasawa kuhusu upokeaji wa mawazo mapya, ukiritimba na mifumo isiyoeleweka. Unafikiri kwa nini ni rahisi kuagiza nguo kutoka China kuliko kwingineko. Unafikiri wote wanaofanya hivyo ni wajinga au hawajitambui? Hebu nenda ukajaribu hicho unachokisema halafu ulete mrejesho hapa.

Na VETA (isiyo na walimu wala karakana za kutosha) si lo lote wala cho chote na hakuna kitakachobadilika. Sioni uhusiano wa fundi wa kuchomelea mageti na kumalizika kwa udalali wa bidhaa za China na Uturuki. VETA siyo suluhisho la matatizo sugu ya kimfumo tuliyonayo!

20250317_054446.jpg
 
Ubunifu wa ujenzi eeeh!

Siyo rahisi kihivyo. Unayajua mazingira ya Tanzania sawasawa kuhusu upokeaji wa mawazo mapya, ukiritimba na mifumo isiyoeleweka. Unafikiri kwa nini ni rahisi kuagiza nguo kutoka China kuliko kwingineko. Unafikiri wote wanaofanya hivyo ni wajinga au hawajitambui? Hebu nenda ukajaribu hicho unachokisema halafu ulete mrejesho hapa.

Na VETA si lo lote wala cho chote na hakuna kitakachobadilika. Sioni uhusiano wa fundi wa kuchomelea mageti na kumalizika kwa udalali wa bidhaa za China na Uturuki. VETA siyo suluhisho la matatizo sugu ya kimfumo tuliyonayo!
Uzi ufungwe hapa,umemaliza yote,mkuu.
 
Maghufuli aliwaharibu hawa watu , aliwaaminisha kwenye hamna
 
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina.
yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
Unazungumzia VETA gani kaka?
Mtaani tuna vijana wengi wamehitimu veta ambao hawajui walichokisomea. Nina vijana wangu wawili walienda Veta kupitia ile progam ya Ofisi ya PM . Program ya miezi Mitatu. Wale vijana walikua wanasomea umeme wa magari. Wamerudi ni weupe kama theluji. Hawana wanachokiweza. Wakati tunakua, jamaa angu alikataa shule, wazee wakampeleka veta ya miaka miwili kusomea carpentry. Jamaa mpaka anatoka hajui hata kunyosha kona.
 
mifano yako ni michache sana haiwezi kujengea hoja.
 
Mifano iko mingi sana. Fanyeni Tathmini mjue ni wahitimu kiasi gani wa VETA waliohitimu na ujuzi stahiki. Na je, VETA hizo zimewakwamua vipi?

Na hili la kuhimiza watu kwenda Veta, ni kuhamisha Bomu. Itafika mahali mafundi watakua wengi kuliko mahitaji, tutarudi kule kule kwenye unemployment
 
Unazungumzia VETA gani kaka?
Mtaani tuna vijana wengi wamehitimu veta ambao hawajui walichokisomea. Nina vijana wangu wawili walienda Veta kupitia ile progam ya Ofisi ya PM . Program ya miezi Mitatu. Wale vijana walikua wanasomea umeme wa magari. Wamerudi ni weupe kama theluji. Hawana wanachokiweza. Wakati tunakua, jamaa angu alikataa shule, wazee wakampeleka veta ya miaka miwili kusomea carpentry. Jamaa mpaka anatoka hajui hata kunyosha kona.
Ufundi ni kipaji na passion kama mtu hana hata akae veta Miaka 10 hakuna kitu
 
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina.
yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
Unafikiri wanasiasa watakubali biashara zao zinazotoa bidhaa china zife kiurahisi?. Subiri uone. Baada ya veta kujaa utasikia vijana wenye degree mkajifunze kulima
 
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina.
yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama choma na anaingiza mzigo wa nguo kutoka china.
Hata bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere mlisema litamaliza tatizo la umeme, kiko wapi? Nyie watu ni matapeli sana
 
Mkuu nawe unaunga mkono kauli za kipuuzi za wanasiasa.. Wakubali tu Kuna sehemu wameharibu.
Sasa mtu ana degree ya civil, uhasibu, electrical, doctor of medicine na nyinginezo, veta ya nini, si bora alipomaliza la saba ama form 4 angeenda veta kuliko muda alioupoteza, kwenda A level mpaka kumaliza na kwenda chuo miaka 3-6!
 
Back
Top Bottom