VETA wamemtakia Heri ya Kuzaliwa Rais mpaka leo hii tangazo lipo kwenye web yao

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2021
Posts
278
Reaction score
255
Hivi ni sahihi kuendelea kuwa na Tangazo hilo mpaka leo? Mie ninafikiri Tangazo la hivi sio baya kutolewa just at the same Day kwenye Media na kisha siku zinazofuata basi lisiwepo! Haid nimejisikia vibaya pengine Taasisi yangu nimekosea kutoliweka kwa web Tangazo hilo! Twampenda Rais wetu lakini matendo yetu sasa yanaanza kuwa kufuru!
 
Nadhani kiserikali hili jambo halifai. Mambo ya birthday mamegineyo binafsi yasiingizwe kwenye kwenye miamala au taratibu za kiserikali. Athari yake yataanza mashindano baina ya idara za serikali nani atatoa pongezi bora kuliko wengine.
 
Akimaliza kulisoma wataliondoa.
 
Nadhani kiserikali hili jambo halifai. Mambo ya birthday mamegineyo binafsi yasiingizwe kwenye kwenye miamala au taratibu za kiserikali. Athari yake yataanza mashindano baina ya idara za serikali nani atatoa pongezi bora kuliko wengine.
Kazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…