Watu wana masihara sanaHakunamo kitu humo πππ
Bongo watu miyeyusho mnoWatu wana masihara sana
Njia nyepesi ni kufanya kama Kipanya. Unaenda China, unatafuta watengenezaji wa simu zisizo na brand, unanunua kwa jumla, unawapa brand Yako waweke.Bongo watu miyeyusho mno
Kabisa kakaNjia nyepesi ni kufanya kama Kipanya. Unaenda China, unatafuta watengenezaji wa simu zisizo na brand, unanunua kwa jumla, unawapa brand Yako waweke.
Kuna bikes za umeme niliziona Alibaba, yaani $600 sijui kama usafiri itazidi $200, hafu bongo mtu anatuuzia Mil 3.5+ wenye pesa wanavimba.Kabisa kaka
Sisi hatuna Tu umoja ila Nchi nyingi Duniani ambazo zina watu wengi wanalazimisha assembling ifanyike kwao,Njia nyepesi ni kufanya kama Kipanya. Unaenda China, unatafuta watengenezaji wa simu zisizo na brand, unanunua kwa jumla, unawapa brand Yako waweke.
Wanataka credit hapo kwamba wameunda simu. Bora tukomae na kuassemble, itakua na faida nyingi sana ikiwemo upatikanaji wa spare original.Ku assemble simu si Kazi, ni kitu kinawezekana kabisa, pia hongera Yao kuweka wazi Wana assemble badala ya kutumia siasa za kuanza kuclaim gunduzi za watu.
Waache wa assemble Ajira zitaongezeka.
Ujuzi wa bongo kushindana kimataifa mbona hilo kwa sasa lipo na linafanyika.Mkuu nakuelewa hoja yako ila kuna suala la ubora, sidhani kama ufundi na ujuzi wa bongo unaweza kushindana kimataifa. Lakini pia kuna suala la kuthamini lugha ya taifa japo binafsi sipendi na huwa naudhika sana kuona maneno ya kiswahili kwenye tech.
Kuna wadau walitengeneza language inaitwa Nuru nilipoona tu syntax na semantic rules zake nikapoteza interest kabisa kuna vitu kamaandika()sijuijaza()ππ
Mfano;
arr = []
sukuma(arr, 2)
au
jumlisha = unda(x, y) {
rudisha x + y
}
andika(jumlisha(3,4))
Kuna kitu kinapotea ukiweka kiswahili kwenye mambo kama haya
Utakuta kila component imekuwa designed na produced in china wewe ni kupachika jina kama ilivuokuwa kwa trump phoneMamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetangaza mpango wake wa kuanza kuzalisha na kuunganisha simu janja nchini chini ya chapa inayojulikana kama "Ujuzi Pro". Mkurugenzi Mkuu wa VETA, CPA Anthony Kasore, ameeleza kuwa utengenezaji wa simu hizo hapa nchini ni hatua kubwa ya kimkakati inayolenga kuongeza ujuzi wa kiteknolojia na kukuza sekta ya viwanda nchini Tanzania.
CPA Kasore amethibitisha kuwa mchakato huo umefikia hatua nzuri baada ya kupata vibali vinavyohitajika kutoka mamlaka za udhibiti ikiwemo Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Tume ya Ushindani (FCC).
Ameeleza kwa sasa VETA iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha taratibu za kupata namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano (IMEI) ili simu hizo ziweze kuingia sokoni rasmi.
Je, upo tayari kutumia simu iliyotengenezwa na VETA?