VETA yatangaza mpango wa kuzalisha simu brand name 'Ujuzi pro

 

Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 7
Nadhani lengo ni show off na sio kushindana sokoni,
I hate kuona taasisi imara nzuri kuanza kufanya siasa
 
Kuna ile company Nyerere akaita NYUMBU ,
 
Tatizo ni _availability of skilled labor"
 
Mbona wachina wanaweka majina ya kichina na tunatumia bila shida? The same applies to Americans, Facebook, iPhone, etc etc
 
Mbona China na India kila nyumba ni kiwanda, unakwenda kiwandani unanunua rejects na kuziunganisha nyumbani.
 
VETA? Watengeneze smart phone?
Labda viswaswandu vya udongo.
 
Uchuuzi Pro
 
Tatizo ni _availability of skilled labor"
Wanao assemble simu sio skilled labour hata huku kwetu wamejaa kibao. Semina ya wiki kadhaa hata wewe unafanya bila tatizo.

Wakati iPhone zinaanza china mshahara ulikua Dola 200, hata sasa hivi India kiwanda cha iPhone mshahara ni kama laki 4-5

Ku assemble simu ni KAZI rahisi Sana, unakaa wewe KAZI yako unapachika waya wa display kwenye motherboard, anaefatia anapachika speakers, anaefuatia anapachika antenna, mwengine anafunga Tu screw etc.
 
badala mje na brand mkononi nyie mnakuja kutuambia mipango yenu?
Useless kabisa
 
Waw! Halafu ni kama majuzi kati hapo, walisemaga eti watatengeneza Chopa. Hii ishu ya Helicopter iliishia wapi? Hizo simu wana Manufacture au wana Assemble?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…