Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Yaani yamekuzidi uwezo wako wa kufikiriSasa huu ujinga una haja ya kuuliza umri wa mtu.
Umejibu nilicho taka kujibu asante.Tukianza kwa akili hizi baadae tutaingia kwenye Askari, Walimu, Wahudumu wa afya, mifugo na baadae tunazaa uzalendo na ufia mahali unapotoka. Mwisho wa siku hakuna Tanzania.
Hivyo vyeo vifutwe kwenye katibaWanaJF,
Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu maeneo husika.
Mikoa ya mara, Morogoro, ruvuma, mtwara, kagera Kuna chamoto nyingi Za migogoro ya hapa Na pale, pengine Ni rahisi kama mkuu wa Mkoa na kamati yake wanaweza kusikilizwa Zaidi. Mfano JPM alivyokuwa anazunguka amekutana Na dhuruma nyingi akazitatua, hizi zimetokana Na rushwa au kutokujari Kwa vile hayawahusu.
Wazo bayaWanaJF,

Tulikuwa na marehemu Lawrence Gama alikuwa kiongozi mwenye maono na kila mkoa ambao alipangwa na Mwalimu Nyerere palikuwa na angalu maendeleo ya aina fulani.WanaJF,