Vetting ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya itokane na maeneo wanapotoka kuharakisha maendeleo, wageni wanafubaza uchumi

Tukianza kwa akili hizi baadae tutaingia kwenye Askari, Walimu, Wahudumu wa afya, mifugo na baadae tunazaa uzalendo na ufia mahali unapotoka. Mwisho wa siku hakuna Tanzania.
Umejibu nilicho taka kujibu asante.
 
WanaJF,

Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu maeneo husika.

Mikoa ya mara, Morogoro, ruvuma, mtwara, kagera Kuna chamoto nyingi Za migogoro ya hapa Na pale, pengine Ni rahisi kama mkuu wa Mkoa na kamati yake wanaweza kusikilizwa Zaidi. Mfano JPM alivyokuwa anazunguka amekutana Na dhuruma nyingi akazitatua, hizi zimetokana Na rushwa au kutokujari Kwa vile hayawahusu.
Hivyo vyeo vifutwe kwenye katiba
 
Wazo baya
 
Tulikuwa na marehemu Lawrence Gama alikuwa kiongozi mwenye maono na kila mkoa ambao alipangwa na Mwalimu Nyerere palikuwa na angalu maendeleo ya aina fulani.

Alikuwa amesoma na ameelimika mwenye maono na aliejitambua.

Hawa vijana wa siku hizi wanopenda kubembea wakizunguruka na hizi V8 na kucharaza bakora watu ni shida.

Tunahitaji wasomi wazuri waloelimika na wapo tayari kutumia elimu na ujuzi wao kuleta maendeleo katika kila sehemu waliopo.

Sasa mkuu wa mkoa anashidwa kubuni njia za mkoa kujipatia mapato angojea fungu kubwa kutoka hazina, huyo hafai.

Ushauri wangu ni kwamba wakuu wa mikoa na wilaya waondolewe na mikoa iendeshwe na mameya ambao watachagliwa na wananchi.

Mameya watadumu kwa miaka mitano na watapomwa kwa ufanisi wa kazi zao.

Madiwani wanakuwa wanashika nafasi ya pili huku nao wakichaguliwa na wananchi.

Halmashauri na manispaa zote zitaongozwa na corporate ambayo itaundwa na afisa mtendaji mkuu.

Hivyo mameya na madiwani wanakuwa hawahusiki na matumizi ya fedha, hawakusanyi kodi wala kuingilia mapato yanayokusanywa.

Kazi yao ni kutunga sheria ndogondogo za serikali za mitaa, kujadili na kupitisha bajeti na kupanga maendeleo ya mikoa.
 
Back
Top Bottom