Via gugu(herbicides ) katika shamba la alizeti

Via gugu(herbicides ) katika shamba la alizeti

Bozi

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
92
Reaction score
144
Wanataalam Wang humu, ninataka kulima alizeti, nataka kutumia dawa ya kuua magugu.

Ni dawa ipi inafaa kuua magugu kwenye shamba la alizeti?

Asanteni na karibuni kwa ushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom