Wanataalam Wang humu, ninataka kulima alizeti, nataka kutumia dawa ya kuua magugu.
Ni dawa ipi inafaa kuua magugu kwenye shamba la alizeti?
Asanteni na karibuni kwa ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dawa ipi inafaa kuua magugu kwenye shamba la alizeti?
Asanteni na karibuni kwa ushauri.
Sent using Jamii Forums mobile app