accountant D
Member
- Dec 17, 2013
- 46
- 17
Wanaojua mahali naweza nikanunua sildenafil citrate (viagra) hapa Dar- es- salaam,naomba mnielekeze.tafadhali mnitajie bei ya tembe moja.It will be better if i also get refferals-yaani kama unaweza ukanipa namba,nipige nipate kusaidika.
msaidieni mwanakijiji!
Nenda nakiete pharmacy pale mwenge utaipata
asante @hawtlady....unaweza ukajua zinauzwa shs ngapi tembe?
why?@new generation?
Sildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa
uko vizuri,embu tuambie hosptal ipi dsm ni mabingwa psychogenic,kweli ni tatizo la wengi vijanaSildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa
nimekuelewa kiongozi,Ilisha juniour na limbende.
Occasion ninayoongelea ni mfano uko na mpenzi zaidi ya mmoja ukiwa kwa mmoja wao unapiga game vizuri hadi wewe mwenyewe unajiskia kweli imesimamia show lakini ukifika kwa mwengine huezi kitu na ukitathmini vizuri utaona mwanzoni kwa huyo ambae sasa hivi hupigi vizuri ulikua unapiga vizuri tu tena zaidi hata ya mara moja hizi zote zinaaashiria una a form of erectile dysfunction but ni apparent sio absolute na ni of psychogenic maana yake unahitaji psychotherapy. Mara nyingi hii tiba hufanywa na clinical psychiatrist na sio psychologist au kama kuna sex therapist ingawa kwa dar sidhani kama wapo wao hufaa zaidi kwani watawaita nyote wawili kama mkipendelea na kisha mtafundishwa jinsi ya ku rejuvenate penzi lenu na aina ya aphrodisiac foods za kutumia ili kuboost libido.
Tumia erecto za India safi kabisa 50mg utaenjoy kuliko kukimbilia yenyewe.viagra