Sildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa