Viagra, sildenafil citrate niipate wapi?

accountant D

Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
46
Reaction score
17
Wanaojua mahali naweza nikanunua sildenafil citrate (viagra) hapa Dar- es- salaam,naomba mnielekeze.tafadhali mnitajie bei ya tembe moja.It will be better if i also get refferals-yaani kama unaweza ukanipa namba,nipige nipate kusaidika.
msaidieni mwanakijiji!
 
Eh kwani vipi pole. Nitafute ntakushauri zaidi wapi utapata hiyo kitu. lakini ntakushauri zaidi kama ni kweli unahitaji hiyo kitu. Ntakutafuta +255 756 514 644/715 514 644 or apronius2000@yahoo.co.uk
 
Wanaojua mahali naweza nikanunua sildenafil citrate (viagra) hapa Dar- es- salaam,naomba mnielekeze.tafadhali mnitajie bei ya tembe moja.It will be better if i also get refferals-yaani kama unaweza ukanipa namba,nipige nipate kusaidika.
msaidieni mwanakijiji!

Don't try it
 
Tatizo nini zaidi! eleza tu tatizo pengine kunaweza kuwa na mbadala maana kutumia viagra ni stage fulani kubwa kidogo
 
Tumia erecto za India safi kabisa 50mg utaenjoy kuliko kukimbilia yenyewe.viagra
 
kama uume wako hausimami kabisa ndo unapewa hiyo dozi sasa wewe kunywa hiyo midonge uje ujute kama una tatizo sema usaidiwe
 
Sildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa
 
unaonekana una knowledge nzuri sana binafsi nimekuelewa ila naomba nifafanulie zaid hapo kwenye ocassion,sijaelewa
 
Sildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa
uko vizuri,embu tuambie hosptal ipi dsm ni mabingwa psychogenic,kweli ni tatizo la wengi vijana
 
Ilisha juniour na limbende.
Occasion ninayoongelea ni mfano uko na mpenzi zaidi ya mmoja ukiwa kwa mmoja wao unapiga game vizuri hadi wewe mwenyewe unajiskia kweli imesimamia show lakini ukifika kwa mwengine huezi kitu na ukitathmini vizuri utaona mwanzoni kwa huyo ambae sasa hivi hupigi vizuri ulikua unapiga vizuri tu tena zaidi hata ya mara moja hizi zote zinaaashiria una a form of erectile dysfunction but ni apparent sio absolute na ni of psychogenic maana yake unahitaji psychotherapy. Mara nyingi hii tiba hufanywa na clinical psychiatrist na sio psychologist au kama kuna sex therapist ingawa kwa dar sidhani kama wapo wao hufaa zaidi kwani watawaita nyote wawili kama mkipendelea na kisha mtafundishwa jinsi ya ku rejuvenate penzi lenu na aina ya aphrodisiac foods za kutumia ili kuboost libido.
 
nimekuelewa kiongozi,
 
Sildenafil citrate ndio erecto ndio viagra ndio familia cjui majina kibao
50mg ni 1500 but inategemea na pharmacy, airport utauziwa 3000 kwa hiyo 50mg.
Tunatumia kutibu pulmonary hypertension lakini inatibu erectile dysfunction pia ila kama wewe ni kijana jaribu kumuona sex therapist au clinical psychiatrist ili ujue ni psychogenic au organic cause.
Vijana wengi hua ni secondary to psychogenic cause comparatively to the other group, wazee, ambao wao ni organic cause and mostly ni atherosclerotic changes. Ukiona unauwezo wa kusmamisha lakini katikati ya gemu inalala ujue most likely ni psychogenic au occassion zingine ni mfano kwa mschana 1unaweza vizuri ukifika kwingine unasema umerogwa

Mkuu inaonekana uko vizuri sana katika hili. Mi nna tatzo hili la mawacliano kukata nikiwa ninasex. Lakin pia huwa nnashinshindwa kumaintain erection yangu kabsa. Kuna kipindi huwa nashindwa kusex kabsa maana huwa nikifikisha tu pale kwa vagina kitu kinalala, na nikifanikiwa kuingiza naweza nikasex kwa mda mchache kitu kinalala tena. Tatzo langu ni la mda mrefu sana mkuu naomba ushauri wako nifanyeje hapo???
 
Back
Top Bottom