Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
WakijisikiaHvi wastani kibali kinatoka baada ya muda gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WakijisikiaHvi wastani kibali kinatoka baada ya muda gani
Tunawaombea kwa Mungu mpate vibali vya uhamishoHiyo wizara kazi yao sasa ni nini? Kama wanakwenda kazini kila kukicha ila hakuna jipya wanachofanya.
Ila Viongozi wao wakiwa kwenye majukwaa wanapiga kelele kwelikweli kuwalaumu HR wa taasisi mbalimbali kwa kukwamisha watumishi ila suala likifika kwao sasa wanakuwa wazito kama gunia la zege.
Waziri Simbachawene wewe ni mzigoooo.
Wekeni utaratibu wa nyie ndiyo wa kuamisha mkipenda siyo kuwaambia watumishi wafuate utaratibu alafu mnakalia Vibali.