lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Write your reply...sometimes hizi vitu hazinaga formula bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi Mtamu! Ila bro. Kwa hiyo hapa ndio umejitahidi Kufupishaa...?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Haya haya dr loveHakuna kitu Duniani kisicho na kanuni.
Ni wajinga pekee ndio wenye mtazamo Kama wako
Mapenzi sio kungono kijana ufundi wa kutiana na mapenzi ni tofautiKwa penzi changa mwanaume akikutana na Mwanamke fundi kitandani anaweza kuliangusha, halikadhalika na Mwanamke.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Haya haya dr love
Mapenzi sio kungono kijana ufundi wa kutiana na mapenzi ni tofauti
Umegeneralize kwenye mambo mengi ambayo mengine wanaume tumetofautiana.
Ila mengi ni kweli tupu, na sidhani kama nchi hii kuna wanawake wanaweza kufanya hayo uliyoandika.
Wengi hujifanya kuyaweza lakini nyege mshindo zikiwazidia wanaliwa kimasikhara kabisa, wengine umaskini unawafanya waliwe mapema tena siku ya kwanza tu ya kufahamiania japo labda mipango yake ilikua ni aolewe na huyo mwanaume.
Na ni kweli kabisa wanaume asilimia kubwa kadri anavyopuuzwa puuzwa na mwanamke ndivyo anavozidi kumpenda zaidi, tatizo sasa ni mwanamke hawezi mpuuza hata kwa kuact mwanaume anaempenda anahisi ataibiwa.
Nadhani nature imebalance vizuri, hivyo imeturahisishia kazi wanaume😁😁
Ntakuja na Uzi huo.
Hata siku moja usitafute pesa ukadhani wanawake ndio watakupenda, watapenda pesa zako na watazila mwishowe uanze kurusha RISASI
We jamaa najiuliza sana ina maana JF umepewa uplatinums ule wa Diamond kwa kusema tu Hayanaga muongozo na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana??Hayanaga muongozo na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
😁😁😁, mkuu jaribu kutoka na mke wa mtu ujue kama kuna mke mtu na mume wa mtuZote hizo Ni nadharia tutafute pesa hapa Duniani hakunaga more wa mtu au Mme wa mtu.