Viashiria vikuu vya Mwanaume anayekupenda

Write your reply...sometimes hizi vitu hazinaga formula bhana
 
Hayanaga muongozo na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hapa kuna ukweli ila shida ni pale mapenzi yanapokuwa ya kuogiza vitu kama hivi ni ngumu kuviona na pia,nikisema kuigiza namaanisha unataka kitu kwa mwanamke kwahiyo false pretence ina take place si easy ndio utaona mtu anawahi kujionyesha alivyo mfano six pack,gari,ajira na matumizi ila baada ya ushindi ni mwendo wa 4+
 
Umegeneralize kwenye mambo mengi ambayo mengine wanaume tumetofautiana.

Ila mengi ni kweli tupu, na sidhani kama nchi hii kuna wanawake wanaweza kufanya hayo uliyoandika.

Wengi hujifanya kuyaweza lakini nyege mshindo zikiwazidia wanaliwa kimasikhara kabisa, wengine umaskini unawafanya waliwe mapema tena siku ya kwanza tu ya kufahamiania japo labda mipango yake ilikua ni aolewe na huyo mwanaume.

Na ni kweli kabisa wanaume asilimia kubwa kadri anavyopuuzwa puuzwa na mwanamke ndivyo anavozidi kumpenda zaidi, tatizo sasa ni mwanamke hawezi mpuuza hata kwa kuact mwanaume anaempenda anahisi ataibiwa.

Nadhani nature imebalance vizuri, hivyo imeturahisishia kazi wanaume😁😁
 
Mapenzi sio kungono kijana ufundi wa kutiana na mapenzi ni tofauti

Wewe unaleta utani kwenye ishu muhimu na nyeti.
Ukishasema ndoa jua kina Mihimili mikuu ya ndoa, Ngono ni moja ya mhimili hiyo.
Hata kisheria Mahakamani, ngono ukishindwa inavunja ndoa.
Sijui Kama unajua hilo
 

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nao wanaogopa kuibiwa hasa wakiwa na wanaume wanaowapenda, alafu ni ngumu kuigiza Kumnyima mwanaume anayempenda wakati kitu chenyewe kipo.

Ni Sawa na Mwanaume awe na pesa alafu ajifanye anamnyima mwanamke anayempenda ni Jambo gumu ambalo wengi tunashindwa
 
Yaaani anizungushe miezi mitatu au masaa matatu.... Make napendwa hatareee!!! Hata humu nimepata sana...ila tatizo lao kupigana hovyo.....ke bhana wana nguvu za kupigana si kitoto hilo tu ndo sitakagi.....
 
Zote hizo Ni nadharia tutafute pesa hapa Duniani hakunaga more wa mtu au Mme wa mtu.
😁😁😁, mkuu jaribu kutoka na mke wa mtu ujue kama kuna mke mtu na mume wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…