Viashiria vya kutambua taasisi, shirika au kampuni yenye mafao mazuri kwa wafanyakazi

Viashiria vya kutambua taasisi, shirika au kampuni yenye mafao mazuri kwa wafanyakazi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k

Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge, kwa asilimia kubwa wanatembea kwa miguu, uso na mwili umepauka, wazembe kuhudumia mteja, wanasengenyana n.k Jua hapo hakuna maslai mazuri kwa wafanyakazi.

Note: Ukitembelea familia na ukaona mfugo mmojawapo katika hiyo familia kama mbwa amekonda sana; jua hapo si pazuri pa kukaa, kuna njaa kali.
 
Great thinkers ni noma. Kuna mdogo alienda interview akakuta wanaowafanyia interview wamechoka zaidi yake akaondoka zake bila hata kusailiwa.
 
Back
Top Bottom