Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Na wataalamu wote wale mbona wanatukatisha tamaaUPDATES: Taarifa nilizozipata hivi karibuni ni kuwa Baadhi ya vituo vya BBT- Viatamizi vimepata hasara kubwa. Hii ni Baada ya kuuza ngombe walionenepeshwa karibia mwaka sasa. Swali ni je, hivi viatamizi vya mifugo vina tija iliyokusudiwa na Raisi Mama yetu Samia? Je, anayo hii habari?