The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hivi ni njaa au tamaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi umekosea kuongeza 0 moja kwenye hiyo bei uliyoweka. Hivyo jitahidi kurekebisha mapema ili ufanye biashara kwa wakati.Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa
Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya maelewano yapo,
Karibuni sana
Size no 38
Bei 15000 tu
Jinsia kike
View attachment 3156143
Watu wana shidaHivi ni njaa au tamaa?