Viatu vya Kanye West vyauzwa kwa $1.8m

Mkuu wazungu ni wehu, ushasikia kitu kinaitwa NFT crypto? Yani watu wana pesa hadi wanakosa wazifanyie nini.

Bora hata wale wanaonunua bikra kwwnye tovuti ya mnada wa bikra πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Shaabaaashhhh wanapewa take away bikra? Ukiishainunua unaondoka nayo??
Wanaume mateso kuhangaika...

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Shaabaaashhhh wanapewa take away bikra? Ukiishainunua unaondoka nayo??
Wanaume mateso kuhangaika...

Everyday is Saturday............................... 😎
Wanawake wenye bkra wanajiweka mtandaoni, ni mnada mwenye dau kubwa, kuna moja ilifika hadi bilion 11, akainunua tajiri wa sweden, bidada alikuwa wa italia ila mnunuz akitajwa nchi anakotoka lakn jina hakutajwa. Mpaka unaiweka dr anabidi athibitishe kuwa ni bikra kweli. Halafu wanakutana na mnunuzi anaitoa. Basi end of the story πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi niligundua binadamu siyo sawa, huku kwetu watu wanazitoa kwa chips soda tu
 
Huku zinapatikana kwa lift ya bodaboda. Muda muafaka wanaharakati, wa kibongo kulifanyia kazi.
Ila psychological trauma zinafuata siyo bure! Utasikia wanaume wote ni mbwa!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Huyo mdada wa italy alisema kuliko kuyolewa bure afadhali kapata pesa ya kulipia masomo na kusaidia familia yake. Sijui serikali ilikata kodi au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…