Viatu vya Kanye West vyauzwa kwa $1.8m

Viatu vya Kanye West vyauzwa kwa $1.8m

Mkuu wazungu ni wehu, ushasikia kitu kinaitwa NFT crypto? Yani watu wana pesa hadi wanakosa wazifanyie nini.

Bora hata wale wanaonunua bikra kwwnye tovuti ya mnada wa bikra 😂😂😂
Shaabaaashhhh wanapewa take away bikra? Ukiishainunua unaondoka nayo??
Wanaume mateso kuhangaika...

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wanawake wenye bkra wanajiweka mtandaoni, ni mnada mwenye dau kubwa, kuna moja ilifika hadi bilion 11, akainunua tajiri wa sweden, bidada alikuwa wa italia ila mnunuz akitajwa nchi anakotoka lakn jina hakutajwa. Mpaka unaiweka dr anabidi athibitishe kuwa ni bikra kweli. Halafu wanakutana na mnunuzi anaitoa. Basi end of the story 😂😂

Mimi niligundua binadamu siyo sawa, huku kwetu watu wanazitoa kwa chips soda tu
 
Huku zinapatikana kwa lift ya bodaboda. Muda muafaka wanaharakati, wa kibongo kulifanyia kazi.
Ila psychological trauma zinafuata siyo bure! Utasikia wanaume wote ni mbwa!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Huyo mdada wa italy alisema kuliko kuyolewa bure afadhali kapata pesa ya kulipia masomo na kusaidia familia yake. Sijui serikali ilikata kodi au la.
 
Hizo hela bora ningezichoma moto kuliko kununulia hivyo viatu.

Point ni umasikini mbaya hata iweje na uupambe vipi.
Kuna anasa dunia hii jamani, halafu kuna wanaolala njaa eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Usiseme "hatuna Ela"

Sema "SINA ELA"
1619616677249.png

1619616774844.png
 
Back
Top Bottom