Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
*Ukoo.Hio hela nikiipewa naitumia miaka 100 na familia yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
*Ukoo.Hio hela nikiipewa naitumia miaka 100 na familia yangu
Shaabaaashhhh wanapewa take away bikra? Ukiishainunua unaondoka nayo??Mkuu wazungu ni wehu, ushasikia kitu kinaitwa NFT crypto? Yani watu wana pesa hadi wanakosa wazifanyie nini.
Bora hata wale wanaonunua bikra kwwnye tovuti ya mnada wa bikra 😂😂😂
Wanawake wenye bkra wanajiweka mtandaoni, ni mnada mwenye dau kubwa, kuna moja ilifika hadi bilion 11, akainunua tajiri wa sweden, bidada alikuwa wa italia ila mnunuz akitajwa nchi anakotoka lakn jina hakutajwa. Mpaka unaiweka dr anabidi athibitishe kuwa ni bikra kweli. Halafu wanakutana na mnunuzi anaitoa. Basi end of the story 😂😂Shaabaaashhhh wanapewa take away bikra? Ukiishainunua unaondoka nayo??
Wanaume mateso kuhangaika...
Everyday is Saturday............................... 😎
Huku zinapatikana kwa lift ya bodaboda. Muda muafaka wanaharakati, wa kibongo kulifanyia kazi.Wanawake wenye bkra wanajiweka mtandaoni, ni mnada mwenye dau kubwa, kuna moja ilifika hadi bilion 11, akainunua tajiri wa sweden, bidada alikuwa wa italia ila mnunuz akitajwa nchi anakotoka lakn jina hakutajwa. Mpaka unaiweka dr anabidi athibitishe kuwa ni bikra kweli. Halafu wanakutana na mnunuzi anaitoa. Basi end of the story 😂😂
Mimi niligundua binadamu siyo sawa, huku kwetu watu wanazitoa kwa chips soda tu
Huyo mdada wa italy alisema kuliko kuyolewa bure afadhali kapata pesa ya kulipia masomo na kusaidia familia yake. Sijui serikali ilikata kodi au la.Huku zinapatikana kwa lift ya bodaboda. Muda muafaka wanaharakati, wa kibongo kulifanyia kazi.
Ila psychological trauma zinafuata siyo bure! Utasikia wanaume wote ni mbwa!
Everyday is Saturday............................. 😎
Hizo hela bora ningezichoma moto kuliko kununulia hivyo viatu.
Point ni umasikini mbaya hata iweje na uupambe vipi.
Kuna anasa dunia hii jamani, halafu kuna wanaolala njaa eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Usiseme "hatuna Ela"
Sema "SINA ELA"
Ukilala njaa hayo ni yako na wala hayamhusu mwenye shibeKuna anasa dunia hii jamani, halafu kuna wanaolala njaa eti[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]