Vibaby vya Salim Kikeke

Vibaby vya Salim Kikeke

kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!

Kama hiyo haitoshi ona hiiView attachment 337638 View attachment 337639

how hot is this man right now!

Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.

Baby mwenyewe ndo huyuView attachment 337640


Wifi katulia jamani. Bonge la smile. halafu mimi pia member wa kuchanganya damu, you know?

View attachment 337641

Mnakaona kaBaby kadogo hako hapo? Ndo kanatolewa kwa Mara ya kwanza kuonja kipupwe cha LondonView attachment 337642

Kanaitwa baby Ioan


AaawwwwView attachment 337643

Kote nakukubali ila hapo katika yeye kuwa HANDSOME naomba UFAFANUZI zaidi Mkuu. Kwani hata mimi kuna Mbuzi wangu mmoja BEBERU halafu kubwa hivi nae pia namwita HANDSOME. Nitakushukuru Mkuu ukinipa VIGEZO vya KUTUKUKA vya kukufanya useme Salim Kikeke ni Handsome!
 
Alishawah kuoa mswahili labda tumuulize Rukia Mtingwa kama alikua spoiled hiv enzi zao
Good, kweli inawezekana anafanya kwa kulazimika au amejifunza. Si unajua tunajifunza kila siku. Au mazingira, huenda angekuwa bongo angeajiri wasichana 3 halafu yeye angeendelea kupiga kazi.
 
mizigoooo tena ya....
wanaume wangapi wako kama Salim. kwanza Salim angebadilisha na nationality kabisa, anawapa sifa za bure AMBAZO HAWANA wanaume wa kiafrika

Unataka msaada gani zaidi kutoka kwa Mwanamume wakati kwanza nimetoa kwenu mahari, nimekuchumbia, nimekuoa, nakukuna kunakotukuka, nakulisha, nakuvalisha, sometimes nakutiririshia mangumi, nimekupa ujauzito na mambo kem kem bado tu Wanaume wa Kiafrika hatuna maana kwenu Dada zetu? Kama hao Wanaume wa huko Ulaya unawaona wa maana imekuwaje sasa umejikuta umezaliwa hapa hapa Tanzania Mkoani Dar es Salaam tena Tandale uzuri na hukuzaliwa huko Ulaya kwa hao Wazungu mnaowataka? Na ndiyo maana Wanaume wa Kizungu wanapenda sana kuwatagisheni mayai Mabinti na Wanawake wa Kiafrika kwakuwa mnapenda mno kujipendekeza kwao kwa tamaa zenu za kipuuzi, kijinga na kipumbavu.
 
anatumia title ya BBC kwenye mambo yake binafsi, quite unprofessional, plus kasimamisha ipad juu ya vikombe badala ya kuinunulia stand, ushamba wa kiswahili swahili...

Alishapuuzwa tokea akiwa Dar nawashangaa nyie ndiyo mmeanza kuona ushamba wake leo. Tanzania ndiyo nchi pekee unayoweza kutumia sampling method ya kutaka kujua watoto waliokulia katika RAHA au DHIKI kiurahisi sana na hutachelewa kupata needed data! Sasa huyu ameenda huko Uingereza sidhani hata kama miaka 5 tu kamaliza ana mbwembwe hizi je walizaliwa, kusoma, kukulia huko kwa zaidi hata ya miaka 25 au 30 na sasa wamerudi Tanzania wao wasemeje? Huwa nachukia sana kuona mtu mzima halafu mshamba.
 
Nje ya mada, umeshawahi kuishi Ulaya au US/CANADA? Kuishi sio kupita.

Kama kasafiri sana basi Kahama - Biharamuro au Ulanga - Ubena zomoe au Kyaka Nkunde - Ikupilipa Nkoba. Ulaya si mchezo Mkuu?
 
ndo shida ya kuoa mijike ya kizungu,haijui kupika kabisa,hukawii kuishia kuwa housegirl kufanya hadi majukumu ya mke ndani
 
ndo shida ya kuoa mijike ya kizungu,haijui kupika kabisa,hukawii kuishia kuwa housegirl kufanya hadi majukumu ya mke ndani

Na inawezekana hata chupi za Mdosho nazo huwa anazifanyia utaratibu wa udobi wa kilazima. Bora nikaoe Kimanzichana tu gube gube langu shida yote hiyo ya nini?
 
Na inawezekana hata chupi za Mdosho nazo huwa anazifanyia utaratibu wa udobi wa kilazima. Bora nikaoe Kimanzichana tu gube gube langu shida yote hiyo ya nini?

sure mkuu,mizungu michosho sana,wao kila kitu inajifanya kuleta usawa tu hadi kwenye mambo ya msingi
 
Huyu jamaa nasikia ana passport 2 akija bongo ataturudishia ile yetu hakuna namna nyingine!
 
Duuuuuh wabongo kwa mawivu, nime smell wivu wa kike!! Wabongo mna miwivu sana i se.. Sasa kama Salim Kikeke kakuacha kubali yaishe. Kashfa na mipasho ya kike haisadii kitu.. Mwenzenu ndo yuko juu!
 
Back
Top Bottom