Vibaby vya Salim Kikeke

Vibaby vya Salim Kikeke

Salim Kekeke Handsome? Unajua vizuri maana ya handsome?
Bruh!

IMG_20160419_172110.JPG
 
Duuuuuh wabongo kwa mawivu, nime smell wivu wa kike!! Wabongo mna miwivu sana i se.. Sasa kama Salim Kikeke kakuacha kubali yaishe. Kashfa na mipasho ya kike haisadii kitu.. Mwenzenu ndo yuko juu!
KABISA.

WIVU na UBAGUZI.

they talk negatively about white women no one bats an eye. I talk about African men everyone loses their minds.
 
Kwani wewe Ni white woman? Isitoshe Mimi ndie niliesema wanawake wa kizungu Ni stress tupu. And I'm talking through experience sasa sijui kwanini umepanic Kama inakuhusu. Wivu na ubaguzi uko wapi? Sometimes mnaweza kuchangia mawazo bila kubishana wala kutoana kamasi na thread ikawa poa tu.
 
kwa hiyo kama sio white woman ulitaka nikuunge mkono? na kuna wenzako pia wamewasema hao wanawake wa kizungu hapa..

na mie nimeishi sana na wanaume wa kiafrika so I'm talking through experience nashangaa watu kunitukana. mizigo ndo imepanic hapa au hujaona mapovu yao?

me nimetulia tuli na THE AMAZING Salim Kikeke
 
Good lucky darling! Ciao.
 
Back
Top Bottom