Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KABISA.Duuuuuh wabongo kwa mawivu, nime smell wivu wa kike!! Wabongo mna miwivu sana i se.. Sasa kama Salim Kikeke kakuacha kubali yaishe. Kashfa na mipasho ya kike haisadii kitu.. Mwenzenu ndo yuko juu!
KABISA.
WIVU na UBAGUZI.
they talk negatively about white women no one bats an eye. I talk about African men everyone loses their minds.
Ninachotaka kusema kinategemea jibu la hilo swali? Well na Australia or New Zealand.rrondo acha maswali ya kizushi... speak your mind.
plus umesahau kutaja Australia.
kwa hiyo kama sio white woman ulitaka nikuunge mkono? na kuna wenzako pia wamewasema hao wanawake wa kizungu hapa..Kwani wewe Ni white woman? Isitoshe Mimi ndie niliesema wanawake wa kizungu Ni stress tupu. And I'm talking through experience sasa sijui kwanini umepanic Kama inakuhusu. Wivu na ubaguzi uko wapi? Sometimes mnaweza kuchangia mawazo bila kubishana wala kutoana kamasi na thread ikawa poa tu.
Hata mimi sasa hivi naungua na jua ila nishaishi huko. Ukinipa jibu ndio naweza kusema ninachofikiria.Speak your mind..... me niko naungua na jua huku bro
kwa hiyo kama sio white woman ulitaka nikuunge mkono? na kuna wenzako pia wamewasema hao wanawake wa kizungu hapa..
na mie nimeishi sana na wanaume wa kiafrika so I'm talking through experience nashangaa watu kunitukana. mizigo ndo imepanic hapa au hujaona mapovu yao?
me nimetulia tuli na THE AMAZING Salim Kikeke
...teh teh teh...ni kweli...,you're a sad person
Sio kwa wazungu mjomba, shekhe Salim mwenyewe hana hata kanzu wala baraghashiaKwa hiyo wifi hatakula tena kiti moto! Atavaa hijab, mapenzi hayana mwenyewe kweli.