Vibaby vya Salim Kikeke

Vibaby vya Salim Kikeke

housegirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
3,125
Reaction score
2,192
kwanza I love this guy. Very handsome. Lovely accent. Sauti Sasa!

Kama hiyo haitoshi ona hii
IMG_20160413_123404.JPG
IMG_20160413_123501.JPG


how hot is this man right now!

Amebarikiwa baby anayekula kazi ya mikono yake.

Baby mwenyewe ndo huyu
IMG_20160413_123632.JPG



Wifi katulia jamani. Bonge la smile. halafu mimi pia member wa kuchanganya damu, you know?

IMG_20160413_123604.JPG


Mnakaona kaBaby kadogo hako hapo? Ndo kanatolewa kwa Mara ya kwanza kuonja kipupwe cha London
IMG_20160413_123436.JPG


Kanaitwa baby Ioan


Aaawwww
IMG_20160413_123348.JPG
 
nilikua namshangaa huyo aliyekuita nyumba ndogo... sijui amezowea kuwekwa nyumba ndogo?!!!!
waache wandelee kuwaza nyumba ndogo wakati mwenzao kachukua long leave amSpoil mke. ingekuwa mwingine ndo mwanzo wa kutoshinda nyumbani.
 
Back
Top Bottom