Vibaka sasa wamezidi

Unajua wadada wanashida sana , Tena wanaoishi wenyewe, wanapenda majigambo na Tena ikute alikuwa anaisifia tv yake Kwa mashoga zake marafiki wakiume majirani zake hata ndugu zake so wakaweka kamtego kakusuka kazuri, huyo alikuwa anapika , ameacha mlango wazi wakaiba vibaka pole pole
 
Hakika hakuna mtu anazaliwa na roho mbaya, me binafsi baada ya kuhitimu chuo niliweza kusave kiasi fulani cha fedha za boom na nikaenda mkoani nikaanzisha ufugaji wa nguruwe.
Usiku wa siku moja wezi walivunja banda na kuiba mifugo yangu michache nilokuwa nayo na kisha wakachinjia pembeni kidogo ya banda na kusepa na nyama yaani asubuhi bi mkubwa alikuta damu tu ( me sikuwepo nilikuwa dar), nilipopata taarifa za tukio kesho yake nilianza safari toka dar hadi KIGOMA,,,,niliwakomesha mpaka sasa nawaonea huruma mana walikuwa ni wahuni wa mtaani kwetu.

Pole sana mkuu.
 
duh hahahaha hiyo noma
 
Nimenukuu,
"Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu."

Sidhani kama Kuna uganga huo....tafuta pesa ingine kanunue tenaπŸ˜ƒπŸ˜Š

Wezi ni warudisha maendeleo nyuma.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…