Vibaka sasa wamezidi

Vibaka sasa wamezidi

Unajua wadada wanashida sana , Tena wanaoishi wenyewe, wanapenda majigambo na Tena ikute alikuwa anaisifia tv yake Kwa mashoga zake marafiki wakiume majirani zake hata ndugu zake so wakaweka kamtego kakusuka kazuri, huyo alikuwa anapika , ameacha mlango wazi wakaiba vibaka pole pole
 
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Hakika hakuna mtu anazaliwa na roho mbaya, me binafsi baada ya kuhitimu chuo niliweza kusave kiasi fulani cha fedha za boom na nikaenda mkoani nikaanzisha ufugaji wa nguruwe.
Usiku wa siku moja wezi walivunja banda na kuiba mifugo yangu michache nilokuwa nayo na kisha wakachinjia pembeni kidogo ya banda na kusepa na nyama yaani asubuhi bi mkubwa alikuta damu tu ( me sikuwepo nilikuwa dar), nilipopata taarifa za tukio kesho yake nilianza safari toka dar hadi KIGOMA,,,,niliwakomesha mpaka sasa nawaonea huruma mana walikuwa ni wahuni wa mtaani kwetu.

Pole sana mkuu.
 
Bahati Yao Bibi yangu kafa tayari .. .. babu wangekuwa walokole milele.........maana alikuwa ananyoosha watoto viburi kama hao........... pigo moja Tu wangerudisha wenyewe...........kuna bwege alijaribu kwangu.......mpaka Leo ananiitaga brother.............alipewa kifi********ro na majini Kwa siku tatu mfululizo mpaka akarudisha laptop ya maq bila kutaka..............
duh hahahaha hiyo noma
 
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
emoji24.png
emoji24.png

Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.

Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.

Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Nimenukuu,
"Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu."

Sidhani kama Kuna uganga huo....tafuta pesa ingine kanunue tena😃😊

Wezi ni warudisha maendeleo nyuma.....
 
Back
Top Bottom