Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwandiko wako tu unaonesha unavyokoroma kama kenge!😂😂😂Wewe kwanini umewaza ivyo 😂
Pole mkuu wangu.😂😂😂Jaman niombe radhi
Hakika hakuna mtu anazaliwa na roho mbaya, me binafsi baada ya kuhitimu chuo niliweza kusave kiasi fulani cha fedha za boom na nikaenda mkoani nikaanzisha ufugaji wa nguruwe.Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
ukishindwa kufuata ushaur huu, bas tena hatuna mganga mwingine hap jf zaid ya huyu bwana mdogoUsijisimbue hakuna mganga mwenye uwezo huo kwasasa, utazidi kupoteza
Hadi nimekubusu hautaki?Acha hivyo.Siyo poa!😂Sitaki
duh hahahaha hiyo nomaBahati Yao Bibi yangu kafa tayari .. .. babu wangekuwa walokole milele.........maana alikuwa ananyoosha watoto viburi kama hao........... pigo moja Tu wangerudisha wenyewe...........kuna bwege alijaribu kwangu.......mpaka Leo ananiitaga brother.............alipewa kifi********ro na majini Kwa siku tatu mfululizo mpaka akarudisha laptop ya maq bila kutaka..............
Nisamehe mkuu aargh nilisahau.Nisamehe mpenzi!😂Ndio sitaki
Achana nako kako 'on heat' siku hiziKwahiyo kwanza walipasua kioo ndo wakakata nondo za dirisha? Au hukufunga dirisha?
Nimenukuu,Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Think twice babe while crossing the road,honey!Ok let me think
Oh honey,I am a bit at easy!Thank you!Ok let go