Vibaka sasa wamezidi

Mnigeria wako alikuwa wapi au ndo alikuwa anakumwagia BAO la tatu mfululizo

Juzi ulikuja na habari yamnijeria kutoshuka kiunoni mwako ,akitemea mfululizo ndani ,Leo umeibiwa
 
Mi sishauri mtu kwenda Kwa Mganga we mwachie Mungu tu bwana unaeza enda Kwa Mganga akakuongezea matatizo Zaid akakuibia ata nyota
 
Mnigeria wako alikuwa wapi au ndo alikuwa anakumwagia BAO la tatu mfululizo

Juzi ulikuja na habari yamnijeria kutoshuka kiunoni mwako ,akitemea mfululizo ndani ,Leo umeibiwa
Alikuwa anajikuna kisogo kwa utamu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna Alarm zinauzwaga, naamini Tanzania zitakuwepo, ni ndogo kama simu, inasense yaani unapoenda kulala unaweka on, mtu akiigia tu ilipo inapiga kelele sana
 
Acha ujinga pigana ununue chogo inch 8 mganga atakula hela yako bure na ukicheza atakupiga ukuni.
Kama yule binti wa JF alipigwa ukuni na mganga tapeli ili apate madini..

Kuja kushituka ndio akapeleka kesi polisi akiwa ameshaliwa...
 
Kama yule binti wa JF alipigwa ukuni na mganga tapeli ili apate madini..

Kuja kushituka ndio akapeleka kesi polisi akiwa ameshaliwa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nani huyo mkuuu ninecheka kaa fala hapa
 
Rafiki yangu juzi nimetoka nae klab saa usiku mbovu tumelewa....tunapishana na majamaa wamefunga mizigo kwny mashuka..tukawa tunacheka kwmb mtu anahama usiku huu.nikashtuka nikamwambia hii mtu kapigwa kaziii tukazidi kucheka sana.msela kafika geto anapiga NDURUU uwiii nimeibiwa.tukarudi kufatilia wale majamaa tulikuta mavi mengi tuu njiani.
 
Wasikuzuge hilo linawezekana kunajamaa anayo tv asilia utaweza kuona tukio lilivyokua namwizi utamuona kabisa. pm ntakusaidia namba.
 
Eeeh mabi tena mkuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…