Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaniogopesha!Madirisha ya aluminium hata ufunge vipi vibaka huyafungua tu mkuu
Weka nondo inchi 16 mkuu.Unaniogopesha!
Alikuwa anajikuna kisogo kwa utamu.😂😂😂Mnigeria wako alikuwa wapi au ndo alikuwa anakumwagia BAO la tatu mfululizo
Juzi ulikuja na habari yamnijeria kutoshuka kiunoni mwako ,akitemea mfululizo ndani ,Leo umeibiwa
Kuna Alarm zinauzwaga, naamini Tanzania zitakuwepo, ni ndogo kama simu, inasense yaani unapoenda kulala unaweka on, mtu akiigia tu ilipo inapiga kelele sanaVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu![]()
![]()
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Kwani hupendi kutaniwa?Nisamehe.Sirudii tena!🙏Sijapenda 😂
Kama yule binti wa JF alipigwa ukuni na mganga tapeli ili apate madini..Acha ujinga pigana ununue chogo inch 8 mganga atakula hela yako bure na ukicheza atakupiga ukuni.
Ndiyo huyu?Pambaff zake mwili mzima.😂😂😂😂
😂😂😂😂 Nani huyo mkuuu ninecheka kaa fala hapaKama yule binti wa JF alipigwa ukuni na mganga tapeli ili apate madini..
Kuja kushituka ndio akapeleka kesi polisi akiwa ameshaliwa...
Eeeh mabi tena mkuuuRafiki yangu juzi nimetoka nae klab saa usiku mbovu tumelewa....tunapishana na majamaa wamefunga mizigo kwny mashuka..tukawa tunacheka kwmb mtu anahama usiku huu.nikashtuka nikamwambia hii mtu kapigwa kaziii tukazidi kucheka sana.msela kafika geto anapiga NDURUU uwiii nimeibiwa.tukarudi kufatilia wale majamaa tulikuta mavi mengi tuu njiani.
Mliishia kukanyaga mavi walevi nyie 😂😂kafika geto anapiga NDURUU uwiii nimeibiwa.tukarudi kufatilia wale majamaa tulikuta mavi mengi tuu njiani.
Sheria ya uwizi ili usilogwe unaacha mabiEeeh mabi tena mkuuu