Vibaka sasa wamezidi

Kama ni smart c uende kwq watu wa cyber wait track?au haina hyo mifumo?
 
Usijisimbue hakuna mganga mwenye uwezo huo kwasasa, utazidi kupoteza
Yupp Mbeya Songwe njia ya kwenda Mkwajuni sehemu panaitwa Mbala. Yule ni balaa jingine. ILA amejificha sana anaishi porini. Ni bibi alozeeka haswa.
 

Kwa mganga atakuibia TV nyingine, usiende huko utaibiwa maradufu.
 
Jana wameiba huyu jamaa hapa Chake chake Pemba
 

Attachments

  • 4AC91291-436D-4341-ABF5-01CD26144F82.jpeg
    59.5 KB · Views: 8
Kawafungue
 
Mnigeria wako ni mzembe unaibiwaje wakati upo na mnegeria na ulisema ana vitu special?!!!!!!!!!!!
 
Wezi wanashinda kwa waganga. Mwizi na mganga ni kulwa na doto.
Tafuta kibaka mzoefu mpe laki atakuonyesha mwizi wako. Kwa waganga utafeli
 
Yaani ulishindwa kutoa 150,000 au 200,000 kufunga GPS tracker saiv unawaza kwenda kwa mganga kutapeliwa.

Ubahili ni kitu kibaya sana.
 
Bila shaka dirisha lenyewe ni haya ya flat bars.
Flat bar sio dirisha weka milimita 16,Mimi huwa wanakuja wanaichungulia wanakutana na milimita 16 wanaondoka wanasonya tu.labda waje na gas
 
Mtoa mada attention sana
Mwaka 2007 nilisafishwa na vibaka, walichoshindwa kubeba ni tv tuu Sony Wega yale makubwa mazito.. Basi nikashauriwa niende kusoma albadir ama niende kwa mganga(wakari huo sijaanza harakati za ulozi bado)
Nikakataa kufanya vile lakini ndani ya mwezi mmoja wezi wangu watatu kati ya wanne wakafa.. Ningefuata ushauri wa kusoma albadir ama kwenda kwa mganga ningekuwa shuhuda mkubwa sana wa hayo mambo
 
Kibaka na mganga boss wao mmoja hivyo hawawezi tupana
 
Flat bar sio dirisha weka milimita 16,Mimi huwa wanakuja wanaichungulia wanakutana na milimita 16 wanaondoka wanasonya tu.labda waje na gas
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…